ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Habarini mabestito
Nimepokea taarifa ya mshtuko wa ghafla wa msiba ambao sijautegemea
muda si mrefu, nimeshindwa kustahimili wapendwa wangu naitaji maombi yenu.
Mwenzenu Nimeondokewa na Shangazi yangu anayeishi Morogoro hivyo
niko kwenye maandalizi ya kwenda huko. Bwana ametoa na ametwaa
Jina lake lihimidiwe.
Ladyf
pole sana mpendwa!
MUNGU akutie nguvu!
kumbuka kuwa kifo ni sehemu ya majaribu,
usihuzunike sana mpaka ukakufuru.
Pole sana ndugu,Jehova akupe faraja ya moyo. Safari njema pia
asante ndo najiandaa kuondoka best
utatumia mode gani ya transport?
Pole sana dada yangu!
Mungu kafanya kazi yake...jina la bwana lihimidiwe.
RIP Shangazi yetu.