Tanzia: Msanii Ziggy Wine wa Uganda afariki dunia

Ukweli ni kwamba niliamua tu niwe naandika kihivyo humu JF. Yeah najua kilugha na kimombo na kifurenchi. Ila humu napenda swahili yangu hii hii natumia kuburudika.
Hahahaha naona ulimjibu kiaina flani aliekuuliza utaifa wako mwisho hapa umeamua kumjibu kwa heshima zote.
Achana kabisa na immigration. Waulize wenzako. Na humu humu kuna peoples za immigration zinakuola tu.
Zikikukosa kosa kwa issue za immigration zinakuambia umefua pesa zikatakata au hupaki mafuta umepauka USO.
 
Back
Top Bottom