TANZIA: Mke wa rafiki yangu

Poleni sana Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha msiba,Mungu ampumzishe marehemu kwa amani Na mtoto Mungu amkuze Amen.
 
Rafiki yangu kipenzi babu kipara wa vingunguti anadikitika kutangaza kifo cha mke wake kipenzi aliyefariki juzi hospital ya muhimbili baada ya kufanyiwa operation ya uzazi, shemeji katuachia mtoto mchanga tumpeni moyo kaka yetu

Bwana alitoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.......

inasemekana kifo wakati waoperation ya uzazi ni uzembe wa madaktari maranyingi,coz in moja ya operation nyepesi sana
labda madawa ya usingizi yalimzidia au alibleed sana,

Mpe pole sana Msela
 
Rafiki yangu kipenzi babu kipara wa vingunguti anadikitika kutangaza kifo cha mke wake kipenzi aliyefariki juzi hospital ya muhimbili baada ya kufanyiwa operation ya uzazi, shemeji katuachia mtoto mchanga tumpeni moyo kaka yetu

Bwana alitoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.......
R.i.p shemeji yetu
 
R.I.P Yaani kwa nchi yetu mzazi akiwa mjamzito ni shida na hofu tupu mpaka anapojifungua balaa,baada ya hapo malezi ya mtoto nayo ni hofu tupu mpaka miaka 7 hivi ndio twaona kweli tumekuza.daah
 
Rafiki yangu kipenzi babu kipara wa vingunguti anadikitika kutangaza kifo cha mke wake kipenzi aliyefariki juzi hospital ya muhimbili baada ya kufanyiwa operation ya uzazi, shemeji katuachia mtoto mchanga tumpeni moyo kaka yetu

Bwana alitoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.......
R.I.P,MUNGU awe nanyi wakati wote na awape faraja kwa kuondokewa na kipenzi chenu.
 
Rafiki yangu kipenzi babu kipara wa vingunguti anadikitika kutangaza kifo cha mke wake kipenzi aliyefariki juzi hospital ya muhimbili baada ya kufanyiwa operation ya uzazi, shemeji katuachia mtoto mchanga tumpeni moyo kaka yetu

Bwana alitoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.......
Huyu mama aliyejifungua akafariki ni yule mtu wa iringa? Nawajua ndugu zake alikuwa na mtoto mkubwa kabisa kabla ya huyo, mtoto mchanga anapelekwa msimbazi kulelewa
 
Rafiki yangu kipenzi babu kipara wa vingunguti anadikitika kutangaza kifo cha mke wake kipenzi aliyefariki juzi hospital ya muhimbili baada ya kufanyiwa operation ya uzazi, shemeji katuachia mtoto mchanga tumpeni moyo kaka yetu

Bwana alitoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.......
Poleni saana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom