"Surely we belong to Allah and to Him shall we return"......Hii maana yake nini?
Kwanini hukuandika kwa kiswahili ili walio wengi waelewe?
Wakoloni(Waarabu na Wazungu) wameharibu sana akili za watu wa Afrika."Surely we belong to Allah and to Him shall we return"......
rubi rubiii, watu wamefiwa rubiiInaelekea huu msiba umekugusa sana kuliko mume wa marehemu ndugu yetu kunani?
rubi rubiii, watu wamefiwa rubii
Hhahahahahhahahaha, ngoja nimsubiri akujibuNdugu yangu, hata wazee wetu walisema, mtu anayelia sana msibani achunguzwe!! Ana siri nzito!
huyu jamaa analia kwa mengi huyu
Wale waliondika R.I.P hukuwaona?...Hii maana yake nini?
Kwanini hukuandika kwa kiswahili ili walio wengi waelewe?