TANZIA: Mganga Mkuu mstaafu wa Serikali, Profesa Phillip Hiza afariki dunia

Tanzania akifa mtu mwenye akili na aliyetoa mchango mkubwa kwa taifa watu wanapiga kimya.

Subiri afe mkata viuno uone watu wanavyolia hadi kupoteza fahamu.

Nchi ina watu wanaopenda kudumisha upumbavu kuliko kuenzi fikra za maendeleo na ndio maana haiendelei.
R.I.P Professor.
Ohoooooo!!!
 
Wabongo bwana...
Sasa wewe unajifanya kusikitika ulikua unamjua marehemu mwenyewe!!
Ama unafuata mkumbo tuu...

Wanaotakiwa waumie ni mke wake na watoto wake basi...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng

Aisee
kweli bora tuendelee kutumia fake IDs hivihihvi
Si kwa vituko hivi
 
Nishafiwa na dada,kaka,mtoto,babu,bibi,uncle,baba mdogo na mkubwa,shangazi,jirani,lafiki yangu kipenzi,,kwa hiyo sijui afe nani nitaumia,huyo HIZA misimjui na haniumizi
Uungwana vitendo kama huna hisia za huruma naona ulibaki na huruma za ukatiri/ujahiri why uoneshe hisia mbovu mbele ya watu.
 
Uungwana vitendo kama huna hisia za huruma naona ulibaki na huruma za ukatiri/ujahiri why uoneshe hisia mbovu mbele ya watu.


Wabongo bwana...
Sasa wewe unajifanya kusikitika ulikua unamjua marehemu mwenyewe!!
Ama unafuata mkumbo tuu...

Wanaotakiwa waumie ni mke wake na watoto wake basi..
 
Nimepokea taarifa kwa mshtuko mkubwa.
Lakini nimefarijika kidoogo baada ya kuona kuwa prof. anazikwa kijijini kwao.
Sio kinondoni wala kisutu.
 
Back
Top Bottom