wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,688
- 26,796
Sijaona mkuu lakini kwa imani imeonyesha una roho ngumu sanaKwani wewe una roho? Uliiona wapi roho
Sijaona mkuu lakini kwa imani imeonyesha una roho ngumu sanaKwani wewe una roho? Uliiona wapi roho
Kifo hakizoeleki, kama hiki hakijakugusa kuna ambacho kitagusa ingawa huyo mtu yaweza tokea humjuiNishafiwa na dada,kaka,mtoto,babu,bibi,uncle,baba mdogo na mkubwa,shangazi,jirani,lafiki yangu kipenzi,,kwa hiyo sijui afe nani nitaumia,huyo HIZA misimjui na haniumizi
Nishafiwa na dada,kaka,mtoto,babu,bibi,uncle,baba mdogo na mkubwa,shangazi,jirani,lafiki yangu kipenzi,,kwa hiyo sijui afe nani nitaumia,huyo HIZA misimjui na haniumizi
Kuna mtu kakuuliza haya? Kwa hiyo hata ukifiwa babako au mamako hautaumia? Wewe ni pumbaaaaaavuuuuuuuuuuu!!Nishafiwa na dada,kaka,mtoto,babu,bibi,uncle,baba mdogo na mkubwa,shangazi,jirani,lafiki yangu kipenzi,,kwa hiyo sijui afe nani nitaumia,huyo HIZA misimjui na haniumizi