TANZIA: Mbunge John Mnyika, afiwa na Baba yake Mzazi, Mazishi kufanyika Alhamis

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,500
3,481
Mbunge John Mnyika, amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua muda mrefu.

Mungu amlaze mahali pema.

=============

Updates:

Mazishi ya Marehemu Baba yake mzazi Naibu Katibu Mkuu Bara John John Mnyika, yatafanyika kesho Alhamis kwa ibada ya misa takatifu itakayoanza saa 3.00 asubuhi katika Kanisa la Roma Mtoni -Tandika na kisha maziko katika makaburi ya Chang'ombe.

Aidha leo kuanzia saa 11.00 jioni kutakuwa na ibada nyumbani kwa Marehemu hapo Mtoni- Tandika/Kichangani.
 
Pole sana John Mnyika tunamwomba Mungu akupe faraja kwenye Kipindi Hiki kigumu . Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
 
Back
Top Bottom