Maxence Melo (mmiliki na mwanzilishi wa JamiiForums) amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia leo Kijijini kwao Bukoba.
Taratibu za msiba zinafanywa na zitaletwa hapa mara baada ya kukamilika. Mazishi yatafanyika Kijijini kwao Kantare, Bukoba.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema Peponi.
Wasalaam!
msiba utakuwa umekugusa sana maana huku majukwaa ya juu uwa hadimu sana kwako kule jukwaa la bondeniPole sana Max na familia nzima