TANZIA: Maxence Melo amefiwa na baba yake Mzazi

Status
Not open for further replies.
Pole sana kaka mkubwa kwa msiba.......ni ngumu lakini jipe moyo. Nawaombea Mungu awafanyie wepesi na awafariji katika kipindi hiki kigumu maishani mwenu. Pole sana.
 
Pole sana kiongozi;
Job 1:21............."Naked came I out of my mother's womb, and naked shall I return thither: the LORD gave, and the LORD hath taken away; blessed be the name of the LORD"..........
 
Maxi kumbe wa Bukoba?Pole sana ndugu yangu.Mungu akupe nguvu na uvumilivu na utayari wa kuchukua majukumu mapya ktk familia.Hata yeye nae alimlilia babake ambaye ni babu yako.Nasi tutaliliwa siku moja.Mungu amlaze pema waishio walio watkatifu.

unajuaje babu yake amefariki?
 
Mpambanaji pole sana kwa kuondokewa na aliyekuleta duniani. Ni siku yake imefika ni lazima tukubali tutake tusitake. La msingi na sisi ni kuwa tayari kwa sababu hatujui siku wala saa.
 
Maxence Melo (Mkurugenzi wa Jamii Media na Mwanzilishi wa JamiiForums) amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia leo Kijijini kwao Bukoba.

Taratibu za msiba zinafanywa na zitaletwa hapa mara baada ya kukamilika. Mazishi yatafanyika Kijijini kwao Kantare, Bukoba.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema Peponi.

-------------

Kwa wale wanaouliza namna ya kutoa rambirambi tunaomba mtumie namba ya Kampuni ya Jamii Media ambayo ni 0765949146.

Wasalaam!

Pole Sana Mtani Wangu. Bwana Ametoa Na Bwana Ametwaa Jina Lake Lihimidiwe. Mwenyezi Mungu Awatie Moyo Na Awapeni Uvumilivu Haswa ktk Kipindi Hiki Kigumu. Baba Mbele Yetu Na Sisi Tuko Nyuma Yake. Pole Na Poleni Sana.
 
Kwa kweli nimekuwa mtoro huku jukwaani jamani!

Mwenyenzi Mungu mwingi WA Rehema ampe Baba yetu kupumzika kwa Amani y.ake mwenyewe!

Mkuu Maxence Melo pole Sana Best wangu na jikaze kiume maana hakika Dunia tunapita!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu, bwana alitoa sasa bwana ametwaa. Sisi sote ni waja wake hivo tumuombe Mola aiweke pahala pema peponi roho ya mzee, Amen.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom