TANZIA: Maxence Melo amefiwa na baba yake Mzazi

Status
Not open for further replies.

Moderator

Head of Content Management
Nov 29, 2006
671
1,000
Maxence Melo (Mkurugenzi wa Jamii Media na Mwanzilishi wa JamiiForums) amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia leo Kijijini kwao Bukoba.

Taratibu za msiba zinafanywa na zitaletwa hapa mara baada ya kukamilika. Mazishi yatafanyika Kijijini kwao Kantare, Bukoba.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema Peponi.
 

Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
42,863
2,000
Maxence Melo (mmiliki na mwanzilishi wa JamiiForums) amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia leo Kijijini kwao Bukoba.
Taratibu za msiba zinafanywa na zitaletwa hapa mara baada ya kukamilika. Mazishi yatafanyika Kijijini kwao Kantare, Bukoba.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema Peponi.

Wasalaam!

Tunaomba haraka taratibu za kutoa mchango wa ubani zianze leo na iwekwe namba ya simu ya kurusha michango.

Thread hii iwe sticky kwenye majukwaa yote hasa MMU kwenye watu wenye moyo wa kijamii zaidi.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom