TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

RIP Mama.
Kiukweli muwe na akili kidogo tu, kila mama ya mtu akilia so mtuhumiwa aachiwe?
Acheni ufala nyinyi kabendera aenjoy tu makosa yake huko alipo.mahakama ndo itaamua kama kaonewa au kafanya makosa kweli
Jaji mkuu ameshauri uchunguzi uwe unakamilika mapema kabla ya mtu kukamatwa ili kupunguza mlundikano wa kesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RIP Mama.
Kiukweli muwe na akili kidogo tu, kila mama ya mtu akilia so mtuhumiwa aachiwe?
Acheni ufala nyinyi kabendera aenjoy tu makosa yake huko alipo.mahakama ndo itaamua kama kaonewa au kafanya makosa kweli
Wee jinga mahakama gani iamue wakati kila akipelekwa mahakamani wanaambiwa upelelezi bado. Yani mtu anakamatwa mwaka unaisha kila siku upelelezi bado hayo mashtaka aliyafanyia ahera ambako hawawezi kupata ushahidi? Siku nyingine ujinga wako weka pembeni huko!
 
RIP Mama.
Kiukweli muwe na akili kidogo tu, kila mama ya mtu akilia so mtuhumiwa aachiwe?
Acheni ufala nyinyi kabendera aenjoy tu makosa yake huko alipo.mahakama ndo itaamua kama kaonewa au kafanya makosa kweli
Ukikaa nyuma ya keyboard usisahau kuhusu ubinadamu wako. Muda mwingine usitake kuthibitisha una akili maana kuna matukio yanahitaji busara na hekma na mtu mzima kuzikosa hizi ni kuwa hopeless.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama mzazi wa mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019. Mtu wa karibu na familia amethibitisha

View attachment 1308015
Shocked!.
Kama ni kweli Eric Kabendera anashikiliwa kwa sababu ya kalamu yake hivyo hayo mengine yote ni kisingizio tu, na yeye ndiye alikuwa tegemeo la mama yake na mama yake amefariki baada ya kukosa huduma na usongo wa mawazo wa kukamatwa kwa mwanaye, then karma ya kifo cha huyu mama itakuwa ni kubwa na haina mfano!.
Karma is real na haina mswalie Mtume.
Pole sana Eric Kabendera
Mungu akufariji na Mungu akupiganie.
P
 
Back
Top Bottom