TANZIA: Mama mzazi wa Mshana Jr amefariki dunia

Status
Not open for further replies.
Daah mshana pole sana...

Nakosa hata cha kusema kwasasa, Mungu tu akutie nguvu jamani...
 
P.K.A-Mama Yetu Mpendwa.

Pole sana kaka Mshana Jr

Na naomba nikutakie safari njema ufike salama nyumbani.
 
Pole kwa familia yote ya Mshana mwenyezi Mungu awape moyo wa ustahimilivu ktk kipindi hiki kigumu cha kumsindikiza mama kuikamilisha safari yake hapa duniani.
 
Wadau kwa taarifa zilizothibitishwa na mshana jr amempoteza mama yake mzazi.

Kwa sasa Mshana Jr yupo njiani kuelekea Ktk Msiba Kilimanjaro, pindi atakapofika atatujuza mengi.

Tupo pamoja ndugu yetu katika kipindi hiki kigumu.

RIP Mum

Namba Itakayo tumika Katika Michango

Kwa atakae Guswa

0715685184 Omari waziri no ya bro
Pole zake sana mtani wangu mshana jr

Mungu amlaze mahali pema mama yetu mpendwa.

Mbele yetu, nyuma yake.

NB: Mleta taarifa hii namba ya simu uliyoweka ni ya mshana??
 
Inna Lillahi wainna ilayihi rajiuu, ( sisi ni wake Mola na kwake ni marejeo yetu)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom