Tanzia: Josephat Issango afiwa na baba yake.


Pole sana Isango, Mungu ampe raha ya milele baba yetu.Lakini 2015 rudia bahati yako tafadhali wewe ni chaguo sahihi la wanasingida.
 

Umetumwa na waume zako kuleta siasa hapa!

Hapa ni taarifa ya kifo tu,na kinachotakiwa ni ama kutoa pole au mchango wako kama unao kwa mhusika omba mawasiliano yaje utume Mpesa,Airtel Money ama Tigo pesa utakuwa umesaidia sana.

Kama unataka kutujulisha namna walivyoshughulikiana na Zitto basi anzisha Thread nyingine utapata tu sapoti!

Jitambue!
 

Pole sana Issango.
 
Ndugu Josephat pole sana kwa msiba mkubwa. Mungu amuweke marehemu pema.
 
Pole sana mkuu, hivi hakunaga kautaratibu kakutoa ata rambirambi kwa member wenzetu katika madhira kama haya ata kwa mpesa au tigopesa

Lukosi akatutoa imani baada ya kuzichanga akajifariji nazo badala ya wahusika wakuu watu hawana hamu
 

Ondoa uzombi wako hapa we kenge,suala hapa nikutoa pole sio siasa.poleni sana wafiwa!!
 
poleni wafiwa.. Mungu amlaze baba pema peponi
 
Pole sana mpiganaji,tupo pamoja ktk kipindi hiki kigumu!
 
May his soul rast in eternal peace.
Pole sana wanafamilia.
 
RIP Dad,

Poleni wafiwa, Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe.

Amen.
 
Last edited by a moderator:

oooho poleni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…