Aliyekuwa Msajili wa Klabu na vyama vya michezo wilaya ya Ilala Ndg.Joel Mkude(Zeno) amefariki muda si mrefu...
Source mimi ni mmoja wa ndugu wa marehemu na maiti ipo Mochwari,msiba upo nyumbani kwake Ilala
REQUIEM: Pumziko la Milele umpe ee Bwana, Na mwanga wa Milele umwaangazie, apumzike kwa amani...
Roho za waumini wapate rehema kwa Mungu, Wapumzike kwa amani. Amina
Aliyekuwa Msajili wa Klabu na vyama vya michezo wilaya ya Ilala Ndg.Joel Mkude(Zeno) amefariki muda si mrefu...
Source mimi ni mmoja wa ndugu wa marehemu na maiti ipo Mochwari,msiba upo nyumbani kwake Ilala
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.