TANZIA: Jaji Mwaipopo afariki ajalini

TANZIA: Jaji Mwaipopo afariki ajalini

RIP Jaji Mwaipopo....poleni sana wafiwa......
 
POLENI SANA WAFIWA NA TAIFA NZIMA KWA UJUMLA. Jaji MWIPOPO R.I.P, MUNGU WA MBINGUNI AWAPE NGUVU KTK KIPINDI HIKI KIGUMU.
 
watu wengine sijui wanasomea visogo, sasa unauliza nini bila kusoma hoja iliyowasilishwa
 
RIP rtd Judge ....imetokea maeneo ya Mkata na chanzo ni gurudumu la nyuma la gari alilopanda kupasuka na kupoteza mwelekeo
 
Bajeti ya wajumbe wa katiba ilikuwa kubwa sana kupungua kwa kichwa kimoja malipoyake yaongeze madawati kule monduli RIP
Haya si maneno mazuri.. yakuandika
kuwa muungwana mkuu.. Ingekuwa ni Baba yako ungeandika hivi!!
 
Haya si maneno mazuri.. yakuandika
kuwa muungwana mkuu.. Ingekuwa ni Baba yako ungeandika hivi!!

Afadhali umemwambia ukweli, kauli hii ni ya mtu ambaye hakuna hofu ya Mungu ndani yake. Ee BWANA, umsamehe kwa vile hajui aliloliandika.
 
Sasa na wewe unauliza nini hicho tena?

Yaani mleta habari kaandika kwenye kichwa cha habari wewe bado unauliza sababu ya kifo chake? Ina maana heading yote wewe hukuisoma ulipoona tu afariki ukakimbilia kwenye keyboard?!! Watu wengine bwana!!!!
]

Akina Mulugo hao!
 
Pole sana Jaji Mwaipopo,Kazi ya Mungu haina makosa,Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi duniani sio nyingi,bibilia inasaema hapa Duniani tuna Muda mfupi wa kuishi na tunapita tu Makao yetu ni Mbinguni kwa Baba Yetu aliye Tuumba sisi sote,Bibilia inasema Msifadhaike mioyoni mwenu mnamwamini Mungu niaminini na Mimi ,Nyumbani mwa baba yangu Kuna Makao Mengi la sivyo ningeliwambia,tulikuja bila kitu ndugu yangu na tutaondoka bila kitu,Maisha ya Mwanadamu ni sawasawa na Kuku anaye jiokotea chakula bila kujua kuwa kuna mgeni kaja na anatakiwa kuchinjwa ni sawasawa na foleni ya kuchota maji kwamba kila moja atasogea na kuchota maji huwezi kukwepa (is the Matter of days and time) kila mmoja wetu anasiku yake ya kuondoka na saa yake
Mungu awatie nguvu wanafamilia katika kipindi hiki kigumu
Amen.
gwesepo,
 
Hivi sasa mwili wa marehemu jaji Mwaipopo(MSUKULINZIVI) ndio unaingia nyumbani kwake Nzivi nje kidogo ya mji wa Mafinga karibu na Igowole. Viongozi mbalimbali wa serikali na majaji wameshawasili mahali hapa, mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho majira ya saa8 mchana nyumbani kwake. Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe.
 
Back
Top Bottom