TANZIA: Jaji Mwaipopo afariki ajalini

TANZIA: Jaji Mwaipopo afariki ajalini

Poleni wafiwa na Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahali pema peponi, amina
 
Mijitu mingine ni ya Ajabu sana ameshaambiwa amefariki kwa ajali wewe unauliza tena?daaaaah wewe wakati upo shule ulikuwa unafeli sana kwa mtindo huu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
jaji mstaafu Ernest Mwaipopo afariki kwa dunia kwa ajali ya gari Morogoro.
source ITV Breaking news saa 11.30

Samahani mtoa MADA huyu marehemu alikuwa Iringa kikazi au nyumbani kwake? kama ni nyumbani kwake basi nahisi atakuwa anatokea maeneo ya Mufindi katika kijiji kinaitwa Nzivi of course kama ni yeye basi kwa maeneo yale alikuwa mtu maarufu sana ingawa kiutendaji sikuwahi kumdetail zaidi katika uhai wake.kama siye, basi anayemjua aniweke sawa WADAU.
 
Samahani mtoa mada huyu marehemu alikuwa anatoka Iringa kikazi au nyumbani kwake? coz nahisi namfahamu kama atakuwa alikuwa anaishi Iringa.Naweza hili kama kuna mdau alimfahamu marehemu vizuri. msaada tafadhari.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.AMINA
 
Jamani wanajanvi tafadhalini nifafanulieni huyu anayedaiwa kufa kwa ya gari ni jaji mstaafu MWIPOPO au MWAIPOPO? Sikumbuki bench letu kuwa na jaji wa makamo mwenye jina la MWAIPOPO lakini nakumbuka alikuwepo jaji MWIPOPO!!!!
 
Gari lilipata tyre bust mawili ya nyuma na kupinduka Mara 6 wenzie wote wamepona wameumia wamelazwa hospital ya rufaa ameumia kichwani source jamaa wa karibu
 
Utakula kwa jasho, mavumbini utarudi. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
 
Jaji mstaafu Ernest Mwaipopo afariki kwa dunia kwa ajali ya gari Morogoro.

source ITV Breaking news saa 11.30

Mkuu asante kwa taarifa masahihisho kidogo Jaji Mwipopo sio Mwaipopo! Ni mhehe! Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi
 
Jamani, sijui watu wengine huwa mkoje, fyuuuuu! R.I.P jaji Mwaipopo
Mungu ailaze roho yake
mahali panapomfaa, vipi mleta uzi, nini sababu ya kifo chake ugonjwa?
Ajali au??
 
Ooh no!
Inasikitisha kwa kweli. RIP MWANAHAKI MWIPOPO,
mbele yetu nyuma yako.
 
R.I.P. Judge Mwipopo! Poleni sana wanafamilia! Leo jioni nimekutana na mtoto wa marehemu jioni ananiambia anawahi Morogoro mzee wake amepata ajali., Lol kazi ya Mungu haina makosa poleni sana!
 
Back
Top Bottom