Tanzia: Imamu auawa akiongoza Ibada Msikitikini Nchini DRC

Yani huu mstari waislam kila mmoja anaandika kivyake,kama hamjaenda madrasa andikeni tu kiswahili!
"Sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea".Hii ni rahisi zaidi kuliko kujifanya waarabu weusi.
Sawa
 
Kiongozi mkubwa wa Kiislamu mashariki mwa DRC ameuawa kwa kupigwa risasi wakati akisali kwenye msikiti mkuu mjini Beni.

Mtu mwenye silaha alimfyatulia risasi Sheikh Ali Amini wakati wa suala ya Magharibi siku ya Jumamosi kisha akakimbia, mwanaharakati wa haki za binadamu ameeleza.

Kiongozi huyo alikuwa akikemea vitendo vya wanamgambo wa kiislamu kwenye eneo hilo, Shirika la habari la Reuters limeripoti.

Mashariki mwa Congo imekumbwa na hali mbaya ya usalama, ikiwemo mashambulizi yanayodaiwa kutekelezwa na kundi la wanamgambo wa Kiislamu (IS)
Vimeumana.
R.i.p imamu
 
Yani huu mstari waislam kila mmoja anaandika kivyake,kama hamjaenda madrasa andikeni tu kiswahili!
"Sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea".Hii ni rahisi zaidi kuliko kujifanya waarabu weusi.
Na ww ukiyaskia au ukiyaona hayo maandishi inavyokuuma bas
 
Kiongozi mkubwa wa Kiislamu mashariki mwa DRC ameuawa kwa kupigwa risasi wakati akisali kwenye msikiti mkuu mjini Beni.

Mtu mwenye silaha alimfyatulia risasi Sheikh Ali Amini wakati wa suala ya Magharibi siku ya Jumamosi kisha akakimbia, mwanaharakati wa haki za binadamu ameeleza.

Kiongozi huyo alikuwa akikemea vitendo vya wanamgambo wa kiislamu kwenye eneo hilo, Shirika la habari la Reuters limeripoti.

Mashariki mwa Congo imekumbwa na hali mbaya ya usalama, ikiwemo mashambulizi yanayodaiwa kutekelezwa na kundi la wanamgambo wa Kiislamu (IS)
Ameuwawa akiwa anaongoza ibada.Kibinadamu inaumiza ila spritualy tunaamini ameshafika ahela. si eti?
 
Yani huu mstari waislam kila mmoja anaandika kivyake,kama hamjaenda madrasa andikeni tu kiswahili!
"Sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea".Hii ni rahisi zaidi kuliko kujifanya waarabu weusi.

إنا لله وإنا إليه راجعون
 
إنا لله وإنا إليه راجعون

Kwa taarifa yako, lugha ya kiarabu ni best language kuliko kiingereza/kiswahili n.k. upo hapo!
Huna ulijualo unachanganya mambo,

Ninyi ndio wale mnafikiri kila wafanyacho waarabu ni ibada,

Utakuta ustadh anamitandio Kibao kajitanda mpaka mingine ameishikilia utadhani mama anakwenda sokoni,

Uarabu sio uislam mengine mnayoyaona ni tamaduni kama uonavyo wamasai wavaavyo mashuka.

Badilikeni mjue kutofautisha kati ya ibada/imani na tamaduni.

Miongoni mwenu kuna watu wanadhani kujitanda mitandio mingi wanapata swawabu hata kama wanamatendo yakifedhuli.
 
hiyo ni comparison nimeitoa kuonesha ubaya wa hao vijana wanaofanya hivyo vitendo kwa mwamvuli wa uislamu, wanawadhuru waislamu wenyewe kama wangekuwa na malengo ya kuunyanyua uislamu vipi wawaue watu wake?!.....wanafanya mass bombing wanaua wanawake, watoto, wanachoma miti na kuharibu makazi ya watu....uislamu gani unafundisha hivyo...
Hiyo ndio mafunzo ya dini yenyewe, uongo, vitisho, mauji na kila aina ya uharibifu

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Yani huu mstari waislam kila mmoja anaandika kivyake,kama hamjaenda madrasa andikeni tu kiswahili!
"Sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea".Hii ni rahisi zaidi kuliko kujifanya waarabu weusi.
Mkuu huyo kaandika kiusahihi.

Kuwepo kwa watu wanaoandika kivyao isiwe ni sababu ya kukataza jambo hilo.

Mbona tusione watu wakikemea R.I.P au RIP au rest in peace hii pia kila mtu huandika kivyake lakini hatuwezi kuikataza isitumike.

Relax mkuu waache watu waandike maadamu lengo lao ni moja tu waache mkuu
 
Kiongozi mkubwa wa Kiislamu mashariki mwa DRC ameuawa kwa kupigwa risasi wakati akisali kwenye msikiti mkuu mjini Beni.

Mtu mwenye silaha alimfyatulia risasi Sheikh Ali Amini wakati wa suala ya Magharibi siku ya Jumamosi kisha akakimbia, mwanaharakati wa haki za binadamu ameeleza.

Kiongozi huyo alikuwa akikemea vitendo vya wanamgambo wa kiislamu kwenye eneo hilo, Shirika la habari la Reuters limeripoti.

Mashariki mwa Congo imekumbwa na hali mbaya ya usalama, ikiwemo mashambulizi yanayodaiwa kutekelezwa na kundi la wanamgambo wa Kiislamu (IS)
Hao Magaidi si waislam wa haki, ni watu wanatumiwa na wasiopenda uislam, waislam wa kweli waungane wawaue wote shenzi hao
 
Masheikh wana kazi sana, kwa wenzetu wanauliwa misikitini huku kwetu wanapewa kesi za ugaidi kesi miaka 7 haisikilizwi.

Wakichimama nchale, wakikimbia nchale, wakichutama nchale.
we nae sijui hujitambui!! huyu Sheikh unaambiwa alikua anapingana na vitendo vya kigaidi ndio akauawa na gaidi sasa hapo unasemaje tena eti masheikh wanauawa? aliyemuua ni sheikh wa mafunzo ya akina uamsho huyo na akina Rogo, ndio zao hao wanawatumia vijana wasiojitambua kupata mali za wizi, madini, fedha za unyang'anyi kwa kisingizio cha kupigania jihadi
 
"al-`arabiyya" - "Kiarabu"
Hivyo Kiarabu ni mojawapo ya lugha muhimu sana duniani ikisomwa kwa viwango tofauti na mamilioni ya waumini Waislamu wakielekea kujifunza na kuelewa kitabu cha Korani. Kama lugha ya kidini ina athari na taathira kubwa juu ya lugha nyingi ulimwenguni na juu ya ustaarabu na utamaduni wa watu na makabila tofautitofauti walio Waislamu.

Kiarabu kwa kawaida huandikwa kwa herufi za Kiarabu.

Ni lugha yenye utajiri mkubwa wa misamiati (maneno), ufasaha mkubwa wa misemo na udhibiti mkubwa wa sarufi na nahau.

Ni lugha iliyokusanya aina nyingi za mithali na mafumbo, na ina utamaduni mkubwa wa nyimbo, mashairi na misemo, nayo inakubaliwa na watu wengi duniani kuwa lugha yenye utamu wa matamshi na uzuri wa lafudhi.

Kwa kuwa Qurani Tukufu na Hadithi za Mtume Muhammad na Mashairi ya zama za Ujahili ndio yenye kudhibiti lugha hii isitetereke wala kubadilika na kupotea kama lugha nyingine nyingi, leo, baada ya miaka zaidi ya elfu, imebaki thabiti kama ilivyokuwa wakati ilipoandikwa Qurani, na mabadiliko yoyote yaliyotokea hayana uhusiano na lugha yenyewe ya Kiarabu, bali yana uhusiano na lahaja na vilugha mbalimbali zinazotumika na Waarabu wa sehemu fulani ya nchi au mji. Ama lugha rasmi ya Kiarabu basi imedhibitika kulingana na Qurani na Sunnah, ili maandishi hayo yaendelee kufahamika milele.

Leo, Kiarabu ni lugha ya sita ulimwenguni kwa wingi wa wanayoitumia kila siku katika maisha yao, baada ya Kichina, Kihindi, Kihispania, Kiingereza na Kibengali.

Umuhimu wa lugha hii unazidi kukua kila siku kwa sababu ya kutumika kwenye maeneo ya katikati ya ulimwengu baina ya mabara ya kale (Afrika, Asia na Ulaya) na mabara mapya ya ulimwengu (Amerika ya Kaskazini na Kusini).
Mtu akitaka kuomba maji kwa kiswahili atasema

"Naomba maji."

Kwa kiarabu atasema

"Aetani ma'an"

Kwa kibena atasema

"Ndisuha lulenga"

Na hawa watu watatu, aliyeongea kiswahili, kiarabu na kibena wote watapewa maji kama yapo na kama hayapo watajibiwa hakuna.

Sasa kama hizo lugha zote zinafikisha ujumbe ubora wa kiarabu uko wapi kuzidi lugha zingine?
 
Hiyo ndio mafunzo ya dini yenyewe, uongo, vitisho, mauji na kila aina ya uharibifu

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
uongo upi?! vitisho vipi?!....kuambiwa kuwa ukifa ukizikwa utakutana na balaa au neema ni vitisho au uhalisia?!...kufa halafu utuletee mrejesho..
kuhusu mauaji aliyeua red indies, syria, afghanistan, mongolia enzi ya tatar, sri lanka ,libya na wengineo ni uislamu?!..
zungumza kwa facts mkuu, ila ukifa utakutana na uliyoyatanguliza hata ukijipa matumaini, no way..
 
vizuri, ni kwamba sheikh anapinga vitendo vya baadhi waislam jina,wanaojitia kupigana jihad hali ya kuwa hawajielewi,wako brainwashed hawaju kuwa badala ya kupigana kwa ajili ya allah wao wanapigana kwa (manufaa)ajili ya kikundi fulani au watu fulani,

Waislam tusiwe mapoyoyo tuisome dini yetu vyema, pia inapaswa tujue dunia inaendeshwa vipi na hawa wahuni, wanatutumia vibaya..tunaenda frontline kupambana tunauwa watu wasiokuwa na hatia, tunauwa waislam wenzetu tunapigana jihad pasina msingi/haki ama sababu yakupigana huko.

Mtume hakutufundisha uchizi kama huu wala allah hajatuelekeza uwendawazimu kama huu.

Sheikh alikuwa anatoa mawaidha juu ya upuuzi huo,naona wamemuwahisha mbele ya haki, allah amfanyie wepesi,alikuwa anapambania dini yake isichafuliwe dhidi ya wapumbavu wasiojielewa.
 
uongo upi?! vitisho vipi?!....kuambiwa kuwa ukifa ukizikwa utakutana na balaa au neema ni vitisho au uhalisia?!...kufa halafu utuletee mrejesho..
kuhusu mauaji aliyeua red indies, syria, afghanistan, mongolia enzi ya tatar, sri lanka ,libya na wengineo ni uislamu?!..
zungumza kwa facts mkuu, ila ukifa utakutana na uliyoyatanguliza hata ukijipa matumaini, no way..
Uliwahi kufa ukayaona hayo unayoyasema?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom