Tanzia: Ezekiel Malongo wa TBC afariki dunia

Tanzia: Ezekiel Malongo wa TBC afariki dunia

Ni huzuni sana kwa tasnia ya habari hapa Tz na TBC kwa ujumla!!! R.I.P

Mandla.
 
Haaaaaaaa. Kweli kifo tunatembea nacho.
R.I.P Malongo..
 
Pumzikaa kwa amani mwanahabari shupavu tangia utoto wangu nilikusikiliza sana
 
Back
Top Bottom