lugendosisty
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 219
- 103
kweli kabisa inaumiza kweli kweli lakini kama una akili na muhusika wa uu ukoo amka kemeeni kabisa mtaishia kuzikwa kila baada ya miaka miwili sisemi kwa ubaya bali naongea uhalisia MUNGU AWATIE NGUVU MUMLAZE KAKA YETU SALAMAJamani cmjui lkn hii trend sio kawaida!
...maagano!! Yesu ni jibu
kaka ni mambo ya kifamilia, sio vema kuyasemea kwenye mitandao!
Du hali inatisha sana, alipokufa dogo Fred a week before his wedding,mengi yalisemwa...baada ya hapo Mama wa watu akavamiwa na majambazi na akaibiwa mamilioni na vitu vingi sana vya thamani..three weeks ago Salva alipata ajali mbaya ya gari...haijapita muda first borm anaondoka kama hivi...jamani kama ni majaribu huyu Mama Mlay kayapitia. Nilikaa nikawaza maybe kuna kitu lakini sipati jibu ni kitu gani..any way kazi ya Mungu haina makosa.
RIP Hommie. cc
Lazima yasemwe kwamba mama yao ndo anawaua wanae...ni uswahili tu
Tupo hapa tunamsindikiza kijana mwenzetu.
RIP Edwin
hapana, sio mama, nilienda kumzika Eduu, yaani nilipata uchungu wa ajabu, inasikitisha sana sana.
Kwa wale wote waliomjua Kaka yangu,Kaka yetu Edwin Mlay nashukuru Sana kwa kutufariji sisi Familia ya Marehemu Michael Mlay.Nimepitia post nyingi na nimeona kuwa kuna watu kweli walimfahamu Edwin na walifahamu Familia yetu kwa ujumla,na kuna wengine wameisikia tu bali hawaifahamu na kwa kuguswa na kifo cha kaka yetu wametupa pole na tunashukuru sana.Duniani huwezi kupendwa na wote hata ukiwa vipi.Nimesoma post ya Facilitator ambaye nafikiri ni mtu ninayemfahamu na amesema aliyebaki ni kapombe kwenye familia.Ni moja pia ya kufariji kwenye msiba huu.ILA kama anachotegemea kukiona au matarajio yake yeye mwenyewe anayajua,asubiri atapata vingi vya post baadae.Namwacjia Mungu yote sbb kama ni uchungu tunaujua sisi tuliyechomwa na miiba.Mungu ana kila nia na dhumuni ya jambo lake.Nawatakia kila la kheri na kila mmoja wetu ana siku yake.
Nimesoma post zako.keep it up.Salva
Mwisho Wa kila mtu huwa ni mauti no matter upo vipi Na unafanya ni ni.ILA I don't dance according to anybody's tune I dance to my own tune.