Taanzia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilaya ya Siha kimepokea kwa maskitiko makubwa kifo cha kamanda Allen Mossi, diwani wa kata ya Nasai na katibu mwenezi jimbo la Siha Kilimanjaro. Ni msiba mkubwa kwa chama na wapenda mabadiliko wote. Mipango ya mazishi inafanyika Nasai Siha.Kilimanjaro.
Tutamkumbuka kwa mema yake yote.
Tutamkumbuka kwa mema yake yote.