TANZIA: Diwani wa kata ya Kijichi(CCM) afariki dunia

Status
Not open for further replies.

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,777
239,449
Anaitwa MH ANDERSON SAMUEL CHALLE Amekutwa amefariki nyumbani kwake KIJICHI leo asubuhi , Kata ya kijichi iko jimbo la Mbagala jijini D,Salaam

Marehemu amewahi kugombea umeya wa Temeke mara kadhaa bila mafanikio.

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE .
 
kwa hiyo Uchaguzi mdogo lini??

R.I.P Diwani
Tume ya uchaguzi itatangaza utaratibu , wachunguzi wa mambo ya siasa wanadai kwamba diwani huyu ndiye pekee aliweza kuisumbua UKAWA , sasa bila shaka kata ya kijichi inaenda Ukawa , kuna wengine wanasema hata udiwani wa Yusuph Manji kata ya Mbagala kuu ulitengenezwa na marehemu Challe , ni pigo kubwa sana kwa ccm .
 
Wanasema Jpm amerudisha imani kwa watz sasa hapo ndo tutajua mbivu na mbichi kama watu wanaimani na ccm au changa la macho kwa mbinu ya hapa kazi
 
Tume ya uchaguzi itatangaza utaratibu , wachunguzi wa mambo ya siasa wanadai kwamba diwani huyu ndiye pekee aliweza kuisumbua UKAWA , sasa bila shaka kata ya kijichi inaenda Ukawa , kuna wengine wanasema hata udiwani wa Yusuph Manji kata ya Mbagala kuu ulitengenezwa na marehemu Challe , ni pigo kubwa sana kwa ccm .

Kwa hiyo!!!!!!!!!??????????Mnawaza UKAWA na CCM tu badala ya kuwaza maendeleo...
 
Diwani wa kata ya mbagala Bw CHALE ANDESON kupitia CCM amefariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 13/5/2016 ktk hospitali ya Zakhiem alikopelekwa baada ya kuzidia ghafla usiku huo,ilikuwa ni presha ndio iliosababisha umauti wake, ni pigo kubwa kwa wananchi wa kata ya mbagala kwani marehemu alikuwa ni mtu wa watu mno.

INNALILAHY WAINNAHYRAJIGHUUN.
 
Duuh kwa kweli ni msiba mkubwa jamaa alikuwa anajua kuwajibika.
 
poleni wanambagala,huyo alikua kiongozi wa wote sio ccm tu,ungeandika diwani wa mbagala kupitia ccm afariki,kuna watu jf,nati zimeisha trade kwenye bongo zao wataanza kuingiza siasa ktk jambo nyeti km hili.rip.
 
Diwani wa kata ya mbagala Bw CHALE ANDESON kupitia CCM amefariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 13/5/2016 ktk hospitali ya Zakhiem alikopelekwa baada ya kuzidia ghafla usiku huo,ilikuwa ni presha ndio iliosababisha umauti wake, ni pigo kubwa kwa wananchi wa kata ya mbagala kwani marehemu alikuwa ni mtu wa watu mno.

INNALILAHY WAINNAHYRAJIGHUUN.
Manji ni Diwani wa wapi vile!!!!!
 
Poleni sana wakuu wana mbagala.
Ila mbagala kubwa ungeainisha ipi ilikuwa yake make hata Manji ni diwani huko!

RIP diwani!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom