Tanzia: Chief Matunge afariki dunia

Tanzia: Chief Matunge afariki dunia

Kwani matunge na jilala ni mmoja?

Chief Matunge ni mwingine na Nkwizukulu Jilala ni mwingine

Chief Matunge ambaye msiba wake ndio unatangazwa humu ni mtu mzima kidogo na alikuwa Dar kisha akahamia Morogoro,

Nkwizukulu Jilala (Ongw'ana O Shimba Nangwe Shimba) yeye alikuwa kijana na ndio kuna kipindi alimuoa huyo msaanii unayemtaja, kutoka Tanzania aliamishia makazi yake Namibia kisha angaingia Angola, Kifo chake kilikuwa cha kupigwa risasi zisizohesabika huko Angola baada ya kushutumiwa ni tapeli
 
Longtime sana hakuwa hakisikika, kumbe alikuwa bado yupo! RIP Matunge
 
Kaacha mke mbichi japo ni matata. Kale ka ugonjwa kasingemuacha.

Pole kwa wafiwa
 
Longtime sana hakuwa hakisikika, kumbe alikuwa bado yupo! RIP Matunge
Kumbe nao huwa wanakufa?

Alikuwa ameanzisha makazi yake pale Morogoro uwanja wa Nane Nane ndani. Alikuwa na binti moja libichi kweli kweli ndo lilikuwa linashika fuko la fhedha!!
 
Nakumbuka zamaaani katika gazeti la Mfanyakazi alivyokuwa anachambua kisonono:thumbup::thumbup:😀😀 RIP!
 
Chief Matunge ni mwingine na Nkwizukulu Jilala ni mwingine

Chief Matunge ambaye msiba wake ndio unatangazwa humu ni mtu mzima kidogo na alikuwa Dar kisha akahamia Morogoro,

Nkwizukulu Jilala (Ongw'ana O Shimba Nangwe Shimba) yeye alikuwa kijana na ndio kuna kipindi alimuoa huyo msaanii unayemtaja, kutoka Tanzania aliamishia makazi yake Namibia kisha angaingia Angola, Kifo chake kilikuwa cha kupigwa risasi zisizohesabika huko Angola baada ya kushutumiwa ni tapeli
Mkuu ha huyo binti aliishia wapi?
 
Hivi waganga, waganguzi, wanga, wa uchawi na warozi wanaurithi ufalme UPI?
Heri wafu wafao katika Bwana wapate kupumzika
Hayo mwachie Mungu ndiye Anajua. Kamwe usitie busara zako za kibinadamu na kuhukumu watu.

Isitoshe hata hao wanaojifanya ni wa ufalme wa Bwana wengi wao ni wanafiki tu. Rehema ya Mungu yatosha na usije kushangaa ukimkuta huyu yuko peponi ukashangaa. Binadamu!
 
kama hakutubu thijui na kama hakumwamini na kumkiri Yesu hapo jibu lipo wazi anapoenda
Siyo kazi yako hiyo period. Unajuaje kuwa hakutubu? Unajuaje hakumwamini na kumkiri Yesu? Wewe hangaika na wokovu wako na achana na waliotangulia mbele ya haki. Unajua hata marafiki wa yule jambazi aliyesulubiwa pamoja na Yesu akaokolewa dakika za mwisho pale Golgotha wanaongea kama ww kwamba msela alienda motoni? Mwacheni Mungu Aitwe Mungu!
 
ngw'izukulu alifariki kitambo.huyu aliefariki now ni mzee ndo alianzisha matunge herbalist.kijiji Chao chaitwa sayusayu maswa shinyanga.over
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom