Tanzia: Capt. Chekingo wa ATCL afariki dunia

Tanzia: Capt. Chekingo wa ATCL afariki dunia

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,891
Ndugu wapendwa,

Wale wafanyakazi wote waliokuwa ATC na waliofanya kwenye ndege za serikali, asubuh ya leo tumeondokewa na mpendwa wetu capt. Chekingo.

Amefariki akiwa anafanya kazi ATCL.Ni wakati wetu kuombea wale ndugu na marafiki waliofikwa na huzuni hii kwa kushirikiana nao katika hali na mali kuweza kuulaza mwili wa marehemu kwenye nyumba yake ya milele.

Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
 
Ll b missing u much check n go

tutamiss utani wako story zako chkn n go

rip
 
Poleni sana ndugu na jamaa kwa msiba huu mzito. Pole pia kwa members wa kontena pale nyuma ya ubalozi wa Ufaransa kwa OKTA!!!
 
Mmoja wa marubani mahili ametutoka,mara ya mwisho alikuwa Dh8 captain pale Atcl,ameugua muda mrefu sana,alale anapostahili .
 
Mods hii futa futa ya post vipi tena siku hizi? Nimeweka picha watu wamtambue mumeitoa namna gani siku hizi? Huyu ni mtu mashuhuri sana jamani. Huyu hapa akipiga tumba

DSCF0575.JPG
 
Niyule mzee chotara anayekaa pale kinondoni hananasf?tafadhali majibu
 
Thankx kwa update piddy ni jirani yangu nilikuwa sina taarifa ndio nimeongea na mama anaenda msibani
 
Mcheshi na alikua mtu wa watu.RIP captain.ndo yeye anakaa hananasif.zamani alikua akiishi laibon pale oysterbay kabla idd simba kumpora house
 
Alimuendesha nyerere,mwinyi na mkapa enzi za uhai wake.alikua intake moja na kikwete na mwamunyange jeshini.ni mtu maarufu
 
R.I.P.Captain.Kwa mara ya kwanza nimeona mleta taarifa ameandika kinachoeleweka.Nadhani mtakuwa mmenielewa.
 
Huyu Bwana kuna kipindi alikuwa anaendesha Dash 8 South Sudan. Mungu ailaze mahali pema peponi.

Tiba
 
Back
Top Bottom