Tanzaniteone waibiwa madini ya mabilioni ya fedha

Tanzaniteone waibiwa madini ya mabilioni ya fedha

Asante kwa kutuhabarisha mkuu lakini naomba nitofautiane na wewe hapo juu kwa kuwa wizi mkubwa wa madini unafanyika kila siku kwenye mikataba yote ya kijinga tuliyoingia na hawa wazungu, hicho walichokomba hao jamaa ni kiasi kidogo sana ukilinganisha na kile wanachotuibia jamaa kila siku. I believe this is the way forward kwa wazawa walalahoi, tubuni vyanzo zaidi vya kuonja keki ya taifa..

hahahahaha
 
Ina semekana jamaa walichimba shimo leeefu mithili ya andaki kuelekea yanako ifadhiwa hayo madini, lakini cah kushangaza nipale ilipo thibitika kwamba makabate yakuhifa dhiwa ni mzima kabisa hakuna lililo vunjwa napata shaka sana na hi inshu, ina wezekana nikatika hali ileile ya kukeapw kulipa kodi,
 
Back
Top Bottom