Tanzanite!Tanzanite!Tanzanite! Tanzanite needed!!!!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Wakuu napenda kujua ni wapi/nani ntapata real Tanzanite?naitaka kibiashara so itapendeza kama ntapata price list.
Sijawahi fanya biashara hii but kuna mtu ambaye nimemtembelea ktk moja ya nchi jirani ameniuliza kama naweza pata hiyo kitu.
Please msaada wakuu.
 
Back
Top Bottom