Tanzania's Unusual Immigration Case

......Kundoa wahamihaji haramu halipingiki na muhimu lakini cha kuangalia ni kama wengi walivyo changia....ubinadamu, sheria na .........

Wakuu.... ni ubinadamu gani mnaotaka kuuzungumzia hapa?.......kama ni ubinadamu serikali yetu imeonyesha ubinadamu wa hali ya juu kwa JUST kuwaomba wahamiaji haramu waondoke kwa hiari yao au warekebishe status zao......na zaidi kuonyesha kuwa TUNAJALI.......tume-acknowledge kuwa zoezi lina kasoro ndogo ndogo za hapa na pale.....na nyinyi wenyewe mmemsikia Kanali Massawe akitoa miongozo kwa wale walioathirika kifamilia kutokana na hizo kasoro.......yote hiyo tuiite nini kama sio Ubinadamu?......

.....Mkitaka kuzungumzia haki za binadamu.....basi serikali yetu ilipaswa kuwakamata wahamiaji haramu wote na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.......sheria haiangalii sura....na wala haina chuki.....

.....mnaozungumzia ubinadamu inaelekea hamna experience ya mshike mshike ya Uhamiaji sehemu mbali mbali duniani.........
 
[h=2][/h]




On Sunday, more people were evicted from Tanzania. Among them were three men who crossed with 84 heads of cattle. The New Times/ Timothy Kisambira.

When Samuel Mwesigye woke up early morning Friday, September 6, it looked just another normal day.

Little did the 35-year old know that he would not spend the day in the area he had called home all his life.

Yet the father of two would lose everything he had toiled for over a period spanning 20 years, in just a space of 24 hours.

It was so simple. He was told he’s Tanzanian-ness was questionable, and was therefore an ‘illegal’ immigrant’. The sentence? He lost all his 200 heads of cattle, his house, bank account with a balance of Tsh5 million (Rwf2 million deposit), and the country he and his parents had called their homeland for a generation.

While recounting the story in an interview with The New Times, Mwesigye, who’s among more than 7,000 people evicted from Tanzania on the account that they were illegal Rwandan migrants, clearly did not believe what he had gone through, wishing it was a bad dream he would wake up from.

“I woke up early as I normally did and rode my bicycle to the kraal a few kilometres away to collect milk for my family,” he recalled.

But it was a fateful morning.
“I received a call from a friend telling me that soldiers had taken my wife and children; I immediately knew what was going on, I knew they were going to be thrown out of the country and sent to Rwanda on false suspicions,” he said.

“So I rushed home only to find the house deserted. I just picked the important documents in the house, including our birth certificates, to prove we are Tanzanians.”

When he finally arrived at the place where his wife, France Karuhanga, and their two light skinned, healthy looking children aged 5 and 8, were briefly detained, Mwesigye presented the documents in his possession to prove they were not illegal immigrants.

But the officials there instead confiscated the documents, he said.

“To my surprise, they confiscated the documents, made me sit down on the floor and started whipping me insisting that we were illegal immigrants.”

Mwesigye, who was born in Tanzania, acknowledges his Rwandan roots but says his father and grandfather became naturalised citizens under Julius Nyerere’s regime.

“What I don’t understand is how my father and my grandfather are recognised as Tanzanians and I and my children are not. Still, if the authorities have decided to throw us out, why don’t they treat us as human beings and give us a chance to sell or leave with our property, including cows?


Other accounts


On Sunday morning, Mwisigye arrived at the Rusumo Border Post on a Tanzanian Police lorry, along with 28 other evictees. They were guarded by six policemen and in company of two Tanzanian immigration officers.

Yet Mwesigye was lucky. Many other evictees were less fortunate.

Jean Claude Tuyambaze, a herdsman, was not only expelled from Tanzania, but was also stabbed with a machete on his way to Rwanda.

“When rumours started spreading that we would be forced to return to Rwanda, I sold my eight bulls at Tsh2.8 million (about Rwf1.1 million) and decided to return to Rwanda.

“But on my way back home to pack my belongings and leave Tanzania at once, I met a vigilante group armed with machetes and sticks. They stopped me asked me if was Rwandan and before I could answer, they started beating me up, and stabbed me several times,” said the visibly wounded Tuyambaze.

He sustained injuries on his forehead, on the arm and in the back. And all the money was taken.

Another victim, Stephan Rushesha, owned 400 heads of cattle and a house. He narrated how Tanzanian soldiers burnt down his house and forced him out the country without anything.

“They came looking for my father who lived next door but he was away so they turned to us and ordered us to burn our houses, which we thought was a joke until they started beating us up,” recalled Rushesha.

“They tortured my brother in my presence and forced him to set our three houses ablaze. To save his life he set the houses on fire, and the soldiers immediately put us onto a truck and ferried us to the border.”

When The New Times visited the Rusumo border on Sunday, three men crossed with 84 cows.

One of them, John Nabagenza, said he did not know where he was going to put his cows since it was his first time in Rwanda.

Of confiscated property

“I don’t even have relatives here, I don’t own land in this country; I practically don’t know my fate and that of my cows,” he said.

He pointed out that he decided to return with his cows after he learnt that the Tanzanian authorities were rounding up people and forcing them to leave.

According to officials from the Ministry of Disaster Management and Refugees Affairs, people evicted from Tanzania are temporarily put in Kigera and Gihura transit facilities in Kihere District and later relocated to Rukara Camp in Kayonza District.

“Since Saturday, most of the arrivals are being brought by the Tanzanian police. Since this practice started last month, hundreds have registered complaints with us about their abandoned and confiscated property,” said Gonzague Karagire, who heads the transit camps.

At least 2,000 heads of cattle have crossed into Rwanda from Tanzania since the evictions started.

Most of the evictees are from the Kagera Region in the north-western swathes of East Africa’s largest nation.

Contact email: edwin.musoni[at]newtimes.co.rw
 

Moja ya matatizo yanayo tukabili Watanzania ni chuki,wivu na uvivu! Umesoma hapo juu wanazungumziwa wananchi wengi ambao wameishi toka miaka ya Uhuru,leo unamfukuza aende wapi? Sisi tupo tayari kufanyiwa hivyo huko nje? Ni Watanzania wangapi wana vibali vya kuishi nchi jirani?

Nikipita Kampala na Nairobi nakutana na Watanzania wa kawaida sana,ambao wengi hawana hata vibali. Wakifukuzwa huko ugenini wanako tafuta mkate wao,wakaporwa mali zao tutalaani sana,lakini Wanyarwandwa ni sawa! Ubaguzi gani huu?!

Ktk kuonyesha kwamba hujui hata unacho kiongelea,unasema Watutsi waliokimbia 1994. Hawa walirejea kwao,wengi waliobakia Kagera ni Wahutu wakiogopa kulipiziwa kisasi. Walioko ktk mapori ya Burigi ni mchanganyiko kati ya Wanyarwandwa na Wahima wa Tanzania wakitafuta malisho ya mifugo yao!

Ni kwanini mapori yamevamiwa na wafugaji? Ni rushwa na udhaifu wa Watawala kuanzia ngazi ya kijiji mpaka Wilaya. Hakuna tofauti na Kilosa na maeneo mengine ambayo kila siku ni ugomvi kati ya wakulima na wafugaji.

Tatizo la msingi limeshughulikiwa? Bado! Matokeo chuki,visasi na uonezi unatumika kuonea wananchi masikini kwa kisingizio cha uhamiaji haramu. Kiongozi mwenye akili hawezi amrisha operesheni za kupandikiza chuki bali kuimarisha umoja na kusahihisha kwa umakini mkubwa matatizo yaliopo.
 

Umekua unajitambulisha kama mtu toka Kagera,lakini chuki uliyo nayo dhidi ya Watutsi nina mashaka makubwa kama kweli wewe ni Mhaya,Mnyambo,Mhangaza ama Msubi toka Kagera! Kwasababu sisi hatuko hivyo. Hawa ni majirani zetu,tumeishi nao kwa amani kwa kiwango kikubwa. Jina lako Niwemugizi ni zuri sana,lakini msimamo wako ni wale wanamgambo wa Interehamwe!
 
Hizi operesheni hazikuanza juzi.....someni hapa chini...........

 
jean claude tuyambaze tangu lini hili jina likawa la kitanzania hapo kuna walakini watutsi acheni kuleta picha za rangi nyekundu zinaumiza macho. ondokeni mtakula jeuri ya kagame bongo tumeshawvumilia sana na ushenzi wenu . muende mkakubaliane na interahamwe mtaishije pamoja badala ya kufukuzana kama paka na panya. hiyo ndiyo fashion siku acheni mambo yenu ya kizamani
 
Why do they whip the immigrants? Tanzanian police ar just so full of themselves!
 
Anyway ila etimology ya majina ya hawa jamaa yako so unique kiasi kwamba hata akitaja tu unaanza kuona chengachenga kibao,ishu ni moja tu,just escort them mercifully back to their indigeneous land.

Wao wanahisi wanaonewa sana kumbe hata majina yao yanawasaliti kuliko hata sura n.k
 
Issue ni Kuondoka Waamiaji haramu, Kutafuta huruma hakupo tena. You Rwandese just go to your Mather Land: Nenda mkale Jeuri ya Kagame tumechoka na ngonjera zetu, mlikuja bila ng'ombe leo mana ngombe wengi mliwaiba toka kwa Watanzania Waishie maeneo ya mipakani. Tanzania is for Tanzanian;you must go no chance to reside in Tanzania .Nenda mkayaonye machungu yale ya 1994,na Kagame lazima atawamalizakwani bado anazo hasira ( Tutsi v/s Huntu)
 
Kila mtu huwa anavuma alichopanda. The problem is how they behaved here in tanzania. they did not behave like a Tanzanian, they did not love Tanzanian and mistreated them, they harbor and marry fellow Tutsi only and above all they have no respect to our leaders
 

Unasahau kwamba hii mipaka tuliwekewa na Wazungu wakati wa mkutano mkuu wa Berlin? Hivi leo ukimkuta Mwita aliyeko Musoma utasema aende kwao ni Kenya kwakuwa tu anaitwa Mwita? Kwanza nakubalina kuwa wahamiaji haramu NO, lakini hili suala la Ku- generalize kwa majina au pua ndefu, nakwambia si kigezo sahihi. Tukimaliza hao tutarudi hapa kwetu kuna wahindi na Waarabu tena ambao wakati wa ukoloni koo zao zilikuwa madaraja ya juu, mbona leo ni WaTz? JK alipotoa tamko hilo alikuwa sahihi, lakini nakwambia hivi kwa baadhi ya askari wetu huu utakuwa ni mradi tu wa kukusanya fedha na kupora
 
Kama walikuwa wa-Tz mliwapokea vipi huko Rwanda? Mlipowahoji na kujua ni wa-Tz mngewarudisha. Msilete ujanja mnaoutumia huko Congo wa kuwaita Wanyarwanda wenzenu Banyamulenge kuwapa uhalali wa kuishi huko huku mkiwapa silaha na kuchochea vita.
 
Kule Goma DRC walianza hivyohivyo kwamba wamekwenda kutafuta malisho tu ya n'gombe. Sasa hivi wanasema ni kwao sababu wamekaa sana!. Sheria gani duniani inasema unaweza kywa raia wa sehemu kwa kukaa muda mrefu tu sehemu husika? Na uliingia sehemu hiyo baada ya uhuru?. Ni lazima uukane uraia wa wazazi wako kisha uombe upya uraia qa nchi husika. Hakuna njia ya mkato. Bila hivyo siku zote utaitwa illigal immigrant.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…