Tanzania's Foreign Policy



Hotuba nzuri huwa inaangaliwa kwa vigezo gani?

Ama ni kusema yale wakubwa wanayotaka kama unavyokiri?
 
Sidhani kama tuna national interest kupeleka wanajeshi wetu huko DARFUR bila ya kuwepo kwa mandate ya kueleweka

especially baada ya tukio hili.Nisingefurahi kuona body bags za wanajeshi wetu wanarudishwa kama maiti kwa sababu tuu ya kutokwepo kwa clear strategy kuwa tutakaa huko for how long


Nilitaka kuendleza hili katika ile hread ya kuchambua seech ya JK kule UN lakini nimeona bora nielezee wasi wasi wangu hapa.

hebu tazama:







 
Leo nitamalizia uchambuzi wangu wa hii hotuba ya muungwana kwa kumjibu vipande kwa vipande
 
Game kwa kweli mimi hili la kupeleka wanajeshi Darfur NALISUPPORT 100% Tanzania can never be credible in the eyes of the international community if we just shy away from fulfilling what we ought to. Yes Drafur kunafuka moshi, sasa unategemea nani aende? mzungu au mwaraabu? Darfur wanaokufa kule ni kaka na dada zetu sio Muiraq au mbosinia. I think its high time Africa tuamke tutimize wajibu wetu, kusubiri mpaka Ulaya na Marekani keleta askari wake kutusaidia..its incresingly becoming impossible. UN ikitoa logistics basi sisi tutoe askari.

Uganda iko Somalia, RSA iko Burundi na Congo, Rwanda Darfur, Nigeria Darfur...TZ we should help continental peace. Labda ungesema Lebanon...huko hata tusingeenda wangeenda wazungu.

Bwana kweli hali ya usalama Darfur ni mbaya mno, lakini hicho siyo kigezo cha kukimbia kabisa. We should try our best.
 
Game ndio hivyo tena kama Masanja alivyokuelezahata mimi nasupport to send troops maana leo wao kesho sisi
 
kupeleka si tatizo, hata mie nnaunga mkono, cha msingi tuwe na clear plan hilo ndilo analolizungumzia gametheory
 
So longer us tumeona kifo ni nje nje, watakaopelekwa familia zao ziwe assured in case mpendwa wao atarudi maiti support iwe clearly written from the beginning. Ni kweli we can not shy away lakini tuwe na strategic nzuri za kuwasaidia hao 1,000 peacekeepers
 
Lakini ni nani anayewasupport hao Darfur rebels? isije tukawa tunaingizwa mkenge...kwani kwa mujibu wa Wahandisi wa habari serikali ya Sudan inawafadhili Janjaweed, swali nani anayewafadhili Darfur rebels?
 
Kwenye hili swala Tanzania ina tatizo moja kubwa sana nalo ni mama Migiro kuwa pale kwenye usukani kwa hiyo kuna mambo ambayo hayawezi kuwekwa kinagaubaga, vile vile ni katika maswala kama hayo ndio wakati mwingine tunafumba macho.

All in all nategemea watalipwa vizuri na askari 1000 sio wengi wa kutisha bali ndio tunapata employment vile vile. Kwa hiyo swala kubwa ni kuona hii mission inafanikiwa na kuona hakuna askari atakayepoteza maisha.
 
Sasa sisi kama Taifa tutaogopa hadi lini? Sii Tanzania tuneanda tu peke yetu- sii wengine pia wapo- are we exceptional as humans or Africans? Ikitokea bahati mbaya maafa kwa askari wetu.. ni ushujaa.. kama askari wengine wa nchi zingine!
Game theory mandate ya sasa ni UN na AU na ni robust- with more resourses and equipment!
Tuungane na wenzetu kishujaa...sacrifice kwa wengine ni mchango wetu kama wanadamu!
Naunga mkono 100% Tz contribution ktk AU\UN Darfur force!
 

Mkuu GM,

Heshima mbele, uchambuzi wako ni safi ila basically umeshindwa kui-acknowledge fact muhimu ya kwamba siasa za dunia nzima sasa hivi zinakuwa formulated na uchumi. Leo Tanzania tunaipita nchi moja tu kama sikosei kwa umasikini, nayo nafikiri ni Burundi tu, sasa foreign policy yetu ita matter kwa nani? Tena kwa misingi ipi ya kimataifa? Ni nani atakayetusikiliza? What different can we make kwenye hii dunia na policy zetu za nje?

Juzi umeona au kusikia kuwa ziara nzima ya rais wetu UN, ilikuwa inalalia kwenye kutangaza utalii, meaning kwamba mambo ya kimataifa hatuyawezi kabisaa maana hakuna wa kutusikiliza, huku Afrika ni foreign policies za nchi kama Nigeria, Egypt, na South Afrika, ndio zinapewa angalau heshima japo kidogo na dunia, otherwise it does not matter kama tunazo policy au hatuna no body cares mkuu.

Kwanza tumshukuru sana Mwalimu, kwamba angalau alituweka kwenye ramani ya dunia kisiasa, ndio maana mpaka sasa tumeweza kutoa viongozi hodari wa kimataifa, mkuu wangu ngoja niseme neno moja ni kwamba very soon ofisi za mabalozi yetu yote huko nje yatageuka kuwa ofisi za biashara 75%, na siasa itakuwa 25%, kama hayajawa tayari sasa hivi, basi tumechelewa sana hiyo ndio political reality ya dunia isiyoepukika sasa hivi, maana balozi nyingi za dunia sasa hivi zilishabdilika siku nyingi na kuwa ofisi za uchumi tu!

Sio kosa la Migiro, wala marais waliotangulia, ni kwamba Bongo we do not have anything worthy kuweza kusikilizwa na dunia tena, kwa hiyo it does not matter kama tuna foreign policy au hatuna, no body cares huko duniani! Na the fact kwamba tunapewa nafasi za ukubwa wa dunia ni kwa sababu mataifa makubwa yanajaribu kuwakwepa the powers huku Afrika kama Nigeria na SA, ili kupitisha agenda zao kwa urahisi!

Sasa duniani siasa ni uchumi, njoo hizi balozi za nje hapa bongo, utakuwa nusu ya maofisa wao ni wawakilishi wa uchumi tu, na sio siasa tena, ukweli ni kwamba bongo tumechelewa sana kulielewa hilo, mabalozi ya Kenya na Uganda huko nje ni uchumi tu mkuu, hakuna siasa tena!
 
Wazairi wa mambo ya nje leo amewataka mabalozi wa nchi za Ulaya kukaa kimya na sio kutoa statement kuhusu ufisadi wa BOT in public kwani mkataba wa Geneva unawabana.

Pia amewataka mabalozi husika wawe wanaiuliza serikali kwani watapata majibu mazuri zaidi.

Pia ameeleza kuwa tuhuma za wizi BOT zinafanyiwa kazi na TAKUKURU,hivyo wasubiri hadi uchunguzi huo ukamilike ndipo waweze kusema.

Alikuwa akiongea na wahariri pamoja na mabalozi husika pale Karimjee hall leo.

Nauchukia ufisadi ila ,............we have long way to go......

Naomba kuingia kwenye forum yenu,nipokeeni tafadhali,.
 
Haki sawa
karibu sana hapa forums
Mimi ndo Gamba la nyoka original ukisikia mwingine huyo feki
Karibu umwage nyuki za hoja !!
 

KARIBU SANA hapa kwenye nyumba ya ukweli...
karibu sana HAKI SAWA
 
Kwani huku huwa mnabaguana kwa vyama au? je?huku ni lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa?


Hakuna chama wala ubaguzi hapa ni Utanzania tu we mwaga vitu.
Karibu sana.
 
Mabalozi wametakiwa wasome ibara ya 24 yaq viena convection,anaendela kusema kuwa rushwa ni vita na wao wataweza kushinda,

Ukishangaa ya Musa utamwona firauni na wakati unashangaa firauni utakutana na Tanzania,mafisadi,walarushwa n.k.
 
Karibu Haki Sawa...!! hapa hoja hujibiwa kwa hoja! I like your entrance though! Kramer wa Seinfield could not have done it better!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…