Tanzania’s central bank issues fresh licensing measures for Forex dealers

Wewe ndugu yetu uamini wingi wa usd katika market ina affect currency yetu?
Kila mtu anapotaka usd ndio chanzo cha kuffika huku kwa 2200+ wakati uchumi unaambiwa unapanda..kuna vitu vingi vina sababisha ila wingi wa hela ya kigeni yenye thamani ina affect currency ya nchi esp kama haina nguvu
Tutarudi kwenye blackmarket!
 
Wameona % kubwa ya wauza poda wana miliki maduka ya kubadilisha fedha

Ova
 
wameamua kuzibana zibakie chache maana zilikuwa zimezidi sana kila mtaa
mkuu jamaa kanifurahisha sana hata mm nilikua nakiitaji sana hiko kitabu kilichoelezea bureau de change ndo causes ya depreciation of the currency

sio kila kitu lazima uchangie vingne vipotezee tu kama huelew
Hivi huwa mnasomea wapi huo ujinga wenu?

Yaani Bureau De Change ndio isababishe sarafu yetu iwe chini hivi?
 
Back
Top Bottom