Aliyeapishwa ni shujaa Nassari, japo wafuasi wake wengi wamezuiliwa kuingia humu mjengoni, kumbe ile sare ya Chadema ni marufuku bungeni!.
Baadae leo nitahudhuria tafrija ya bkumpongeza Nasari, nitaiwakilisha jf!
Ikipita saa saba mchana ambayo ni time ya lunch, CAG atawajibika kuwaangalia hawa waandishi utaratibu wao wa lunch unakuwaje, na ndio kwenye matukio kama haya, ule uhalali wa sisi waandishi wa habari nasi tuangaliwe!.
!
Wabunge wa CCM hawana ubavu wa kulikomalia hilo, sana sana watayashangilia kwa nguvu zao zote majibu ya kitatanishi yatakayotolewa na waziri mhusika!5.8b hizo pesa ni nyingi sana lazima bunge likomae awajibike mtu hapa. Nchi ina matatizo lukuki lakini pesa zinafujwa kama watu hawana akili sasa ni wakati wa bunge letu kuonyesha umakini katika kuisimamia hii serekali chovu.
Sawa kabisa, ukiangalia kuwa pamoja na ubadhirifu mkubwa wa fedha za wananchi, hakuna yeyote anayewajibishwa, licha ya milolongo ya ripoti ambayo zimetolewa hadi sasa!CAG report, my foot! What for???????????