Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,604
- 5,737
ni wakali acha tuu ni kitoweo kizuri ila ukijichanganya kwao unakuwa kitoweo
ona sungura mjanja hapo kakunja sikio moja
namw
ona sungura mjanja hapo kakunja sikio moja
kaka sungura kipenzi cha wengi


Duh! Na meno yao makali kama misumeno sipati picha, bahari ina viumbe wengi wa ajabu kwelini wakali acha tuu ni kitoweo kizuri ila ukijichanganya kwao unakuwa kitoweo
















