Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,675
- Thread starter
- #1,481
Mwendo wa kujichana
matunda yameamaua kuaa sehemu moja
indonesiaMara ya kwanza kwako kujua kuwa hii ni mboga safi kabisa ya kula na ugali ilikuwa ni lini?View attachment 2850110View attachment 2850112View attachment 2850113View attachment 2850114View attachment 2850115View attachment 2850116
asante sana nashukuru kwa kuwa mmoja wa kuupush pamoja tutanaenzi vya kwetuMwaka 2023 ukiwa umefikia ukingoni leo, napenda kuzielekeza shukrani zangu za dhati kwa wadau mbalimbali ambao michango yao kwa namna moja au nyingine ndiyo iliyouwezesha uzi huu kufikia ulipo;
1. Malchiah
2. Apeche Alolo
3. Kimbisa
4. Winnone
5. Mshamba_hachekwi
6. Mshana Jr
7. Mjinga mimi
8. My eyes
9. Palina
pamoja na wengine wote mliosoma, ku-comment, kushare na ku-like mchango wenu ulikuwa muhimu mno, Asanteni sana na tuukaribishe mwaka 2024 kwa shangwe la pamoja huku tukiendelea kutupia madikodiko ya kitanzania katika uzi wetu pendwa.
huwa naliona sana mtaani huu mti lakini sijawahi ona linatumikaje bwana asante
nimecheka kwa sabbu ya huyu mwamba wa pili kutoka mwisho alinogesha sana tangazo by the way mwanaume unapaswa ule nguna ya kushiba bwana.Ugali wa kushiba na kusaza. Na hii ndiyo desturi yetu katika kuwakaribisha wageni.View attachment 2858715View attachment 2858716View attachment 2858717View attachment 2858718View attachment 2858719View attachment 2858721
nyumbani kabisa moshi
asante sana nashukuru kwa kuwa mmoja wa kuupush pamoja tutanaenzi vya kwetu

Umenikumbusha enzi hizo nikiwa mkazi wa mabogini, masoka, kirima, kwa mangi sina, kwa kina Kimaro na Mushi ama hakika napamisi Kibosho kila nikiona mtori, kitimoto na mbegenyumbani kabisa moshi

nimecheka kwa sabbu ya huyu mwamba wa pili kutoka mwisho alinogesha sana tangazo by the way mwanaume unapaswa ule nguna ya kushiba bwana.

Hahaaaa! Na wewe kumbe umebaini hilo utafika mbinguni umechoka sanamatunda yameamaua kuaa sehemu moja




