Tanzanian traditional local foods

Undava King

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
3,205
5,333
Dunia ya leo watu wengi hufanya utalii wa ndani au wa nje ya nchi zao si kwa ajili ya vivutio vya asili vya mazingira na majengo tu bali kwa ajili ya kufurahia utalii wa vyakula vya asili na tamaduni za jamii mbalimbali.

Kama watanzania ni fursa kwetu pia kutangaza na kujivunia vyakula vyetu vya asili na vya kitamaduni, kwani Tanzania tumejaaliwa sana kuwa na vyakula vingi vya asili na vyenye ladha nzuri pengine kuliko nchi yeyote ile barani Afrika.

Ningeomba kupitia uzi huu yeyote yule mwenye picha nzuri ya chakula cha asili cha kitanzania na jina la chakula chenyewe iwe ni kiswahili au kikabila asisite kutupia hapa ili tusaidiane katika kuutangaza utamaduni wetu.
 
Ugali dagaa

(Ugali-stiff dough prepared with cornmeal,cassava,flour,sorghum or millet)
Screenshot_20230524-020110~3.jpg
Screenshot_20230524-020128~3.jpg
Screenshot_20230524-020145~2.jpg
Screenshot_20230524-020319~2.jpg
Screenshot_20230524-020400~2.jpg
 
Back
Top Bottom