Tanzanian president Magufuli cancelled railway project due to massive corruption

Hapo hakuna cha corruption wala nini, amebugi tu, hela atoe mchina tenda umpe mturuki!! Wachina wamegoma kutoa hela yao, aseme tu ule ukweli
 
Me Nilishasema Kitambo Kilometa moja ya rail haiwezi kuwa 1million dollar afu treni lenyewe locomotice gari moshi! yaani vyuma hivyo Kokoto zetu skrubu na nguvu kazi au kama zipo zile treni zinazotengeneza zenyewe njia ya rail..

Sauti ya Magufuli ikisikika Dunia Nzima wachina wamekwisha... sasa Kenya sijui kulikoni maana kila kitu kule ni Wachina... Rushwa ni ya Kuogopwa...



Elewa kitu muhimu sana. Matatizo ya Wachina yanajulikana dunia nzima; sio kitu kigeni. Hawana urafiki na mtu. Huwa wanafanya kazi kutegemeana na wewe unayewapa tenda. Lengo lao kwanza ni kuchuma (kukuibia) kiasi kikubwa katika mkataba kutegemea na kiwango cha umakini wako katika kujadiliana (negotiation). Na ukiwa mtu wa rushwa/dili ndio kabisa watafanya wizi wa uhakika.

Pili, ubora wa kazi watakayokufanyia utategemea uwezo wako wa kuwasimamia na aina ya mkataba ulioweka nao. Kwenye nchi zenye umakini wa hali ya juu kwenye masuala ya mikataba na usimamizi wa kazi na pesa, Wachina wanafanya kazi safi kwa bei nzuri isiyoweza patikana kirahisi hapa duniani.

Kusema kweli ni kazi ngumu sana kuwasimamia Wachina hasa kwa nchi kama zetu zilizojaa watu wenye kuwaza ulaji tu na villaza kwenye mambo ya kitaalamu. Lakini inawezekana na kuna nchi zimeweza kuwasimamia kwa umakini na kunufaika na kazi zao.

Kuna Waziri mmoja wa Angola aliwahi kusema baada ya kukubali kuwa wameshindwa kushughulika na Wachina waliamua kutoa tenda kwa makampuni ya Ulaya Mashariki kwa makubaliano ya kukodi (sub-contract) makampuni ya Kichina kufanya kazi yenyewe huku wao wakibakia zaidi na jukumu la usimamizi wa viwango.
 
lakini mbona pia huyo Mwakyembe kapewa tena wizara nyeti ya Sheria ambayo kimsingi huwa inahusika kwa asilimia kubwa kwenye kusain hzo contracts, ila pia naamin hata Marehemu Sitta angeomba ubenge na kama angepata, angepewa uwaziri pia
Tumia kichwa chako vizuri kulikua na Wizara ya uchukuzi, Waziri alianza Mwakyembe baadae akawa Marehemu Sita
 
Na hao Waturuki wakishindwa itakuwaje? Wao kwao wana matatizo kibao!

Waturuki wapi? Hao ambao ndo wamejenga rali iendayo kasi mwaka 2003 na imeanza kutumika 2009 kwa ujuzi upi walio nao

Kama mkopo kutoka china ulikua na Rushwa na kwamba gharama za mradi ziliongezwa mara 2 ili mafisadi wafaidi , Tunapaswa kumpongeza sana Rais wetu kwa Hatua hii.
Uturuki ni taifa la 'ulimwengu wa kwanza' same China 'Wanaweza kwa Kila hali ' kiteknolojia na kimtaji' wapi vzr.
 
Back
Top Bottom