Tanzanian president Magufuli cancelled railway project due to massive corruption

Tanzanian President Magufuli has cancelled a $7 billion standard gauge railway project because it was bloated with corruption by the previous government and Chinese contractors. The new project will be worked on between Tanzania and Turkey at almost a half the price
Sourcep: Mtandao wa Africanleadership

Mwenye taarifa toshelevu atupie hapa
 
Natamani enzi unasoma humu unaondoka umejifunza na kujua mengi yanayojiri kiukweli, na sio mtu kuandika tu sababu ya kuchukia mtu au kitu au lolote.
 
Mkulu anafanya vizuri tatizo moja tu kuna watu anawajua kabisa na madhambi yao ila bado anawabeba
 
magufuli111-768x503.jpg

Tanzanian President Magufuli has cancelled a $7 billion standard gauge railway project because it was bloated with corruption by the previous government and Chinese contractors. The new project will be worked on between Tanzania and Turkey at almost a half the price.

Source: African Leadership Magazine
Nilijua tu kuna kitu amekishtukia! Kweli MWENYE ENZI MUNGU ametuletea rais kutoka katika UFALME WAKE. ..REMAIN BLESSED MY PRESIDENT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI. ..
 
..
Tanzanian President Magufuli has cancelled a $7 billion standard gauge railway project because it was bloated with corruption by the previous government...​

Alikuwa part ya corrupt previous Government na hii inatia faraja anapoanza kudeal na waliokuwa wakiiba pamoja..
 
Wabongo kwa kudanganyika kirahisi!!!! Nafikiri wanaongoza duniani.Huyo magu anataka kiki za kipuuzi.Awadanganye hao,hao wadanganyika wa Lumumba. Yeye alikuwepo katika serikali iliyopita. Kwanini hakuupinga huo ufisadi?sio kwamba alikuwa haujui. Kama kweli yeye ni mpinga ufisadi, tunataka awawajibishe kisheria hao viongozi wa serikali iliyopita.Kama hawezi asituletee unafiki wake hapa,aupeleke unafiki huko lumumba kwa wenzie.
Lazaro Chuwa 20161224_164547.jpg
 
Ni step nzuri sana hii maana hakika hela ilikuwa inapigwa sana kwa kweli ila kuna mawili hapa tunamuomba mkuu ayafanye pia, kwanza ahakikishe anawapeleka mahakamani wahusika wote hawa lakini pia atusaidie na kushughulikia ile kadhia ya M.V Dar es salaam, ile meli ilinunuliwa kwa gharama sana na haijawahi kufanya kazi, tunaumia wananchi kwa kukosa huduma za usafiri na pesa zilishatoka. Afanye kitu na hapa tafadhali
 
Me Nilishasema Kitambo Kilometa moja ya rail haiwezi kuwa 1million dollar afu treni lenyewe locomotice gari moshi! yaani vyuma hivyo Kokoto zetu skrubu na nguvu kazi au kama zipo zile treni zinazotengeneza zenyewe njia ya rail..

Sauti ya Magufuli ikisikika Dunia Nzima wachina wamekwisha... sasa Kenya sijui kulikoni maana kila kitu kule ni Wachina... Rushwa ni ya Kuogopwa...

 
JPM fanya kazi, ninachoomba sasa na ile Bandari ya Bagamoyo iangalie kwa macho mawili. Tulikuwa na viongozi lege lege, natumaini sasa ni wakati wa kuikomboa hii nchi na kuacha porojo walizoacha marais wastaafu. Wakae kimya tu wakuache uendeleze nchi yetu.
 
Mkulu anafanya vizuri tatizo moja tu kuna watu anawajua kabisa na madhambi yao ila bado anawabeba
Mbona unawasi wasi, wezi wote wataisoma number mark my words. Waswahili walisema ''wakati wa kwenda ni mgeni.''
 
Duuuuh, Kila kona deal, Jamaa walishajipanga kupiga ya nguvu hapo kuzipeleka kuleeee, imekula kwao
 
lakini mbali na serikali iliyopita kuridhia contract na wachina, huyu raisi si ndiye aliyekuwa wazir wa miundombinu..

kwa manaa deal zote zilikuwa zinaenda sambamba na kupitia kwakwe...

iweje leo aje atafute kick kuwa mradi uligubikwa rushwa na serikali iliyopita ambayo kimsingi yeye alikuwa wazir wa miundombinu?
 
lakini mbali na serikali iliyopita kuridhia contract na wachina, huyu raisi si ndiye aliyekuwa wazir wa miundombinu..

kwa manaa deal zote zilikuwa zinaenda sambamba na kupitia kwakwe...

iweje leo aje atafute kick kuwa mradi uligubikwa rushwa na serikali iliyopita ambayo kimsingi yeye alikuwa wazir wa miundombinu?
hand on now
 
lakini mbali na serikali iliyopita kuridhia contract na wachina, huyu raisi si ndiye aliyekuwa wazir wa miundombinu..
Tumia kichwa chako vizuri kulikua na Wizara ya uchukuzi, Waziri alianza Mwakyembe baadae akawa Marehemu Sita
 

Alikuwa part ya corrupt previous Government na hii inatia faraja anapoanza kudeal na waliokuwa wakiiba pamoja..

Lakini unaonaje anapoogopa hata kutaja majina ya mafisadi hao huku akionyesha ukali sana kwa watendaji wenye makosa kama ya kumdanganya kuhusu wafanyakazi hewa au waliofungua akaunti za FD? Ni nani hao wanaotisha kiasi hicho?

Kama wapiga dili wakubwa hivyo hawachukuliwi hatua; wanabakia kuwa "untouchables", kuna matumaini kweli ya kumaliza kansa hiyo katika taifa kama tulivyoaminishwa?
 
Back
Top Bottom