Why Rwanda refugees/Asylum seeker Go to malawi 18000Km (thousands miles) and Not in Tanzania &Kenya?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,088
2,705
There has been some report indicating that malawi has many asylum seekers and refugees from Rwanda more than tanzania and Kenya but when you look at the map, Malawi is thousands miles away from Rwanda!

Why??
Is malawi safe than Tanzania and Kenya and burundi (actually burundi here it’s obvious not safe)?

How comes a poorer nation is East and southern Africa with GDP 13B safe heaven for asylum seekers but not so called Giant of East africa and Sleeping Giant
IMG_0511.png

IMG_0512.png
 
There has been some report indicating that malawi has many asylum seekers and refugees from Rwanda more than tanzania and Kenya but when you look at the map, Malawi is thousands miles away from Rwanda!

Why??
Is malawi safe than Tanzania and Kenya and burundi (actually burundi here it’s obvious not safe)?

How comes a poorer nation is East and southern Africa with GDP 13B safe heaven for asylum seekers but not so called Giant of East africa and Sleeping Giant View attachment 2790726

View attachment 2790728
Ukijua maana ya asylum seeker utaelewa kwanini hawatakiwi kuwa nchi jirani na walikokimbia. Tofautisha refugees na asylum seekers, sisi tunao wakimbizi wao wa kutosha.

Mkimbizi wa kisiasa akienda nchi jirani pua na mdomo ndio yaleyale ya Milton Obote kuja Tanzania wakati kapinduliwa Uganda.

Asylum seeker anabidi aende mbali ambapo influence yake na alikotoka itakuwa ndogo, ili asiamshe hisia za kutafutwa. Kutafuta asylum jirani na ulikotokea unaleta ishara unajiandaa kurudi kuendelea na mapambano yako.

Hivyo huendi nchi yenye influence na ulikotokea, Malawi haina cha kupoteza ikiigomea Rwanda na wala haina muingiliano mkubwa na Rwanda.

Tanzania ina Rwandese wengi, Kenya hainaga msimamo na bado ina mahusiano kiuchumi na Rwanda kuliko ilivyo Malawi.
 
Ukijua maana ya asylum seeker utaelewa kwanini hawatakiwi kuwa nchi jirani na walikokimbia. Tofautisha refugees na asylum seekers, sisi tunao wakimbizi wao wa kutosha.

Mkimbizi wa kisiasa akienda nchi jirani pua na mdomo ndio yaleyale ya Milton Obote kuja Tanzania wakati kapinduliwa Uganda. Asylum seeker anabidi aende mbali ambapo influence yake na alikotoka itakuwa ndogo, ili asiamshe hisia za kutafutwa. Kutafuta asylum jirani na ulikotokea unaleta ishara unajiandaa kurudi kuendelea na mapambano yako. Hivyo huendi nchi yenye influence na ulikotokea, Malawi haina cha kupoteza ikiigomea Rwanda na wala haina muingiliano mkubwa na Rwanda.
Tanzania ina Rwandese wengi, Kenya hainaga msimamo na bado ina mahusiano kiuchumi na Rwanda kuliko ilivyo Malawi.

Mkuu atleast umefafanua vizuri hasa hapo kwene asym seeker!…but malawi ina vyote wakimbizi na asym seeker
 
Inategemeana huwenda labda nature au culture za Malawi na Rwanda zinaendana hivo wanaona ni rahis kusettle hko coz ni rahis kuadapt maisha.
 
Unafuatilia habari?? Asylum seeker unawafaham
Asylum seekers and "refugees"

Na hapa umeongelea wingi ilhali post yako haijaonesha source wala actual numbers ya asylum seekers na refugees waliopo hivyo, kuifanya kuwa baseless.

Na issue ya safety is wide, ukiongelea kwa political asylum hakuna nchi jirani iliyopo safe kwa Rwanda unless wewe ndo hufuatilii habari zake. Fuatilia kilichomkuta yule Paul Rusesabagina wa hotel Rwanda na hapo achana na countless assasinations za watu zilizowafuata hadi South Africa. Ndio uongelee malawi !!!..

Ukiongelea ukimbizi sidhani kama asylum seekers wanawazidi refugees in numbers na hapo fikiria Rwandese community iliyopo Tanzania tangu nchi hii haijapata uhuru, sasa kama Tz isingekuwa salama kwao wangeweza kukaa comfortably ..imagine ndio uje uilinganishe na malawi

Ndio maana nikakuambia hii story hata wanyarwanda watakushangaa maana mimi siwasomi kwenye magazeti. Nimeishi nao humu humu Tz and that's the difference
 
Inategemeana huwenda labda nature au culture za Malawi na Rwanda zinaendana hivo wanaona ni rahis kusettle hko coz ni rahis kuadapt maisha.
Mkuu wanywarwanda kwa ujumla wao, uganda na eneo lote la magharibi mwa Tanzania from kagera to kigoma linajulikana kama "interlacustrine region"..
Hawa watu wameshare tamaduni hadi damu kwa hiyo sidhani kama kuna sehemu mnyarwanda wa asili awe mtutsi au muhutu atashindwa kuishi comfortably kama Tanzania kwa Wahaya, wahangaza, wanyambo, waha etc au Uganda kwa wanyankole na hata baadhi ya sehemu za DRC.

Ndio maana ule msako wa kikwete ulishtua sana kagera na Kigoma lakini hata wakati wa vitambulisho vya taifa, watu wa kigoma na Kagera walipata tabu kiasi maana hata nchi hii inajua kuwa kuna jamii kubwa sana ya warundi na wanyarwanda wapo Tanzania hata kwa njia za Panya. Na wanaishi fresh tu
 
Asylum seekers and "refugees"

Na hapa umeongelea wingi ilhali post yako haijaonesha source wala actual numbers ya asylum seekers na refugees waliopo hivyo, kuifanya kuwa baseless.

Na issue ya safety is wide, ukiongelea kwa political asylum hakuna nchi jirani iliyopo safe kwa Rwanda unless wewe ndo hufuatilii habari zake. Fuatilia kilichomkuta yule Paul Rusesabagina wa hotel Rwanda na hapo achana na countless assasinations za watu zilizowafuata hadi South Africa. Ndio uongelee malawi !!!..

Ukiongelea ukimbizi sidhani kama asylum seekers wanawazidi refugees in numbers na hapo fikiria Rwandese community iliyopo Tanzania tangu nchi hii haijapata uhuru, sasa kama Tz isingekuwa salama kwao wangeweza kukaa comfortably ..imagine ndio uje uilinganishe na malawi

Ndio maana nikakuambia hii story hata wanyarwanda watakushangaa maana mimi siwasomi kwenye magazeti. Nimeishi nao humu humu Tz and that's the difference

IMG_0618.jpg

IMG_0619.jpg

IMG_0620.jpg
 
Mkuu sisi tuna warundi wanyarwanda ni kidogo sana !!… kipindi cha Genocide ndo walikua wengi ila walilazimishwa kurudi kwao
 
Asylum seekers and "refugees"

Na hapa umeongelea wingi ilhali post yako haijaonesha source wala actual numbers ya asylum seekers na refugees waliopo hivyo, kuifanya kuwa baseless.

Na issue ya safety is wide, ukiongelea kwa political asylum hakuna nchi jirani iliyopo safe kwa Rwanda unless wewe ndo hufuatilii habari zake. Fuatilia kilichomkuta yule Paul Rusesabagina wa hotel Rwanda na hapo achana na countless assasinations za watu zilizowafuata hadi South Africa. Ndio uongelee malawi !!!..

Ukiongelea ukimbizi sidhani kama asylum seekers wanawazidi refugees in numbers na hapo fikiria Rwandese community iliyopo Tanzania tangu nchi hii haijapata uhuru, sasa kama Tz isingekuwa salama kwao wangeweza kukaa comfortably ..imagine ndio uje uilinganishe na malawi

Ndio maana nikakuambia hii story hata wanyarwanda watakushangaa maana mimi siwasomi kwenye magazeti. Nimeishi nao humu humu Tz and that's the difference

Specifically asylum seeker maana ukimbizi ni suala la muda….
 
There has been some report indicating that malawi has many asylum seekers and refugees from Rwanda more than tanzania and Kenya but when you look at the map, Malawi is thousands miles away from Rwanda!

Why??
Is malawi safe than Tanzania and Kenya and burundi (actually burundi here it’s obvious not safe)?

How comes a poorer nation is East and southern Africa with GDP 13B safe heaven for asylum seekers but not so called Giant of East africa and Sleeping Giant View attachment 2790726

View attachment 2790728
Kama tz wanatekwa wanarudishwa kwao
 
Back
Top Bottom