Tanzanian lady interview!

bora maana ni aibu kufanyiwa interview afu ukadanganya bora ukwepe kujibu haadhi ya vitu kama nilivyofanya. nilikuwa nakwepa kijanja ila vingine vyote ni sahihi.

hivi najuaje kuwa Fulani kadanganya wakati tuna I'd fake???
Kujua kama flani kadanganya mpaka uwe unamfahau kiundani mfano. kuna baadhi ya watu mimi nawafahamu lakn wao hata hawafikirii kama mimi nimo humu.
 
Kwan nyie mnachukuliaga hizi interview serious?!


Uzushi mtupu maana humu kila mdada anadai kaolewa sijui ndio sifa namba moja
 
We Bwana unastahili Kuwa MD wa JF yaani kama interview zako zingetoa ajira basi wadada wa humu wasingekosa kazi
 
Back
Top Bottom