Tanzanian investments in Kenya: any official statistics?

Tanzanian investments in Kenya: any official statistics?

msemakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,627
Reaction score
880
Wakuu.

Kama mjuavyo Kenya imekuwa ikijinadi miaka nenda rudi kuwa mifuko yao ndiyo inayotulisha sisi.

Kulingana na takwimu rasmi, makampuni 346 ya Kenya yamewekeza takriban $2billion hapa Tanzania na wamecreate around 45,000 jobs for Tanzanians.

Swali langu ni je sisi wa Tanzania tumewekeza how much huko kwao?

Yeyote mwenye takwimu rasmi aziweke hapa.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom