Habari haijakaa sawa...
Tatizo linalosemwa hapo sio wizi, ila ni kukiuka taratibu zabuni. Yalitengenezwa makalavati mengi kuliko yaliyoidhinishwa wakati wa zabuni.
Ni msala wa mamlaka yenye dhamana ya ujenzi huo, mkandarasi hana kosa kiviiiile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.