Tanzanian diaspora mnatuangusha

msemakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,627
Reaction score
880
List of African Countries by diaspora remittance;

1. Nigeria ($21 billion)
2. Sudan ($3.2 billion)
3. Kenya ($1.8 billion)
4.
Senegal ($1.2 billion)
5.
South Africa ($1.0 billion)
6.
Uganda ($0.8 billion)
7.
Lesotho($0.5 billion)
8.
Ethiopia ($387 million)
9.
Mali ($385 million)
10.
Togo ($302 million)

Tanzania haipo kwenye top 10!
WHY?
 
Umesahau kitu kimoja nacho idadi ya hao Madiaspora ktk kila nchi ulizozitaja ndiyo uweze kuwa fair kwa Watz!
 
For the same reasons why Kenya is third and SA.is fifth..You know what.. We love to invest here at home.
 
For the same reasons why Kenya is third and SA.is fifth..You know what.. We love to invest here at home.
Sikuelewi.....kama mnapenda kuinvest nyumbani basi Remittances zingekuwa higher than that au?
 
Umesahau kitu kimoja nacho idadi ya hao Madiaspora ktk kila nchi ulizozitaja ndiyo uweze kuwa fair kwa Watz!
Sidhani kama hoja yako ni valid.
We angalia hizo nchi kwenye hiyo list......TOGO, LESOTHO!
Tungefikia hata $1 billion ingekuwa safi sana. In fact remittances zingefidia hizo $500 million tunazofadhiliwa na wazungu!
 
Serikali yetu haijatilia maanani habari au mchango wa diaspora ndio maana hawana record, hawajui mchango halisi wa diaspora kwa uchumi wetu, na kwa sababu hiyohiyo watanzania nao hawaoni umuhimu wala mchango wa diaspora ndio maana wanawatukana kila siku na kashfa kibao
 
Kwa sababu nchi karibu zote hapo juu zinaruhusu uraia pacha, ndio maana wana diaspora wao wanatuma mahela mengi tu nyumbani
 
Sidhani kama hoja yako ni valid.
We angalia hizo nchi kwenye hiyo list......TOGO, LESOTHO!
Tungefikia hata $1 billion ingekuwa safi sana. In fact remittances zingefidia hizo $500 million tunazofadhiliwa na wazungu!

Hoja yangu ina maana kwa maana huwezi kutaka kulinganisha vitu bila kuwa na Data zote!
Wewe umetoa figure tu ya fedha zinazotumwa kwenye hizo nchi!
Sasa bila kujua hizo nchi zina wakazi wangapi huko nje unawezaje kusema Diaspora wa nchi fulani hawatumi fedha nyingi kulinganisha na nchi fulani?

Kwa mfano kama Je nikuuliza ni asilimia ngapi ya Wasenegali walioko nje ya Senegali wanatuma fedha nyumbani utasemaje? hiyo namba utaipataje kama haujui Idadi ya Wasenegali waliokuwa nje ya Senegali?

Sikatai wala sipingi labda ni kweli Watz wetu hawatumi fedha nyingi Nyumbani lkn bila ya kupata idadi kamili ya watu wa hizo nchi walioko nje ukilinganisha na ya wa kwetu walioko nje inakuwa ngumu kuhitimisha!
 
Sielewi Sudan wametushinda sisi Wakenya kivipi, halafu Nigeria $21 billions, duh! jamaa wazalendo kishenzi. Lazima uvutie ngozi upande wako, ila hata Wakenya hatujabaki nyuma na tunatamba na kutanua. Tayri diaspora wetu tumewapa raia pacha, wawekeze nyumbani...tunataka hizo $$$$
 
watanzania wengi nje hawana kazi za maana. watanzani wasomi kutoka kwao ni kazi sana, nahisi na ujamaa ulichangia.

Hizo wanazotumia wakenya hazitokani na kazi za maana, ni kazi hizohizo wanayofanya wabongo, na utumaji wenyewe ndio ule wa kujenga, kusomesha wadogo zao au matibabu kwa ndugu.

Wanachotuzidi wao ni kule kutambulika na pia taratibu au mfumo wao wa uchumi unawafanya watambue kila kinachoingia.
 
Wanachotuzidi wao ni kule kutambulika na pia taratibu au mfumo wao wa uchumi unawafanya watambue kila kinachoingia.
Mkuu, hapo kwenye issue ya 'kutambulika' unazungumzia 'uraia pacha' au?
 
Wakenya tunatamba na kutanua.
What's with you and kutamba-ring and kutanua-ring???
Na sijui kuvuta vuta ngozi....u literally had an argument here with someone over that saying!
Anyways, nawapa Kenya big up kwa hili.....sisi diaspora wamelala usingizi wa pono!
Wakiulizwa wanasema wamenyimwa uraia Tz, i don't know how valid that point is!
Tz tungekuwa tunapata walau $1 billion tungekuwa mbali sana!
 
Toka miaka ya nyuma diaspora walionekana kama tishio kwa viongozi. Kutambulika kwa maana ya kuwa na record ya mchango wao kwa taifa kiuchumi. Ndio maana wanadharaulika hata na walalahoi.
 
Mkuu, hapo kwenye issue ya 'kutambulika' unazungumzia 'uraia pacha' au?

Toka miaka ya nyuma diaspora walionekana kama tishio kwa viongozi. Kutambulika kwa maana ya kuwa na record ya mchango wao kwa taifa kiuchumi. Ndio maana wanadharaulika hata na walalahoi.
 
na wingi wao pia. US kuna kama wakenya 100,000 wakati watz ni 20,000.
 
Sikuelewi.....kama mnapenda kuinvest nyumbani basi Remittances zingekuwa higher than that au?

Namaanisha nje wanakaa wanafunzi.. Wagonjwa na watu kama hao..Xo hawana uwezo wa kuinvest. Wenye uwezo wanaish humuhumu kwa kua fursa bado ni nyingi hapa bongo.. Wakenya na waganda lazima watoke kwa kua ardhi hawana .Wakizipata ndo wanatuma makwao ili ndg zao waende chooni. Ukifuatilia kwa makin unaweza kukuta hizo hela za wakenya, na waganda nyingi zinatokea bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…