Tanzanian Banks Swift Codes

Kwa wale wanaofanya banking on line hawana haja ya kujua Swift Code kwa sababu unapotaka kutuma fweza popote duniani watakuuliza ni nchi gani unataka kutuma, ukisha weka hiyo nchi swali linalofuata ni benki gani na ukisha weka jina la Benki zitakuja branch za hiyo benki na Swift Code yake (on a selected country) na vimbwanga vingine. Kwa hiyo in short huna sababu hata ya kufahamu swift code bali account number na jina la mtumiwa vingine vitakuwepo on line for you.
 
Kinda wrong Wacha1 au, lets put this way..., inategema na Bank na Bank.

Binafsi, kwa kaeksipiriensi kangu kadogo, nina viakaunti flani ambavyo huwa ninatumia internet banking kufanya wire transfers and stuffs alike. One of the bank huwa lazima niwe na Swift code, otherwise the transfer wont go thru no matter how. Na ingine, ukiweka Jina la bank na nchi unayotaka fanya transfer, then Bank wanacharge kiwango flani kwa kukutafutia Swift code, na itakujulisha kabisa kwamba kwa kutokuweka swift code, the bank will do on ur behalf but will charge u some amount for that service, (ni option).

All in all, nafikiri ni vema kuwa/kujua swift codes just in case you dont want to pay extra ama kuepuka usumbufu wowote.

Asante
 
Ni kweli kabisa Lizy,
Mimi pia ni mtumiaji mzuri wa online banking na nipo kwenye nchi ya ulimwengu wa kwanza hakuna hiyo kitu ya Bank Swift kuja automatically unapokuwa umechagua nchi na benki unakotuma. Huenda hii ni huko aliko mkuu Wacha1.
 
Mkuu hiyo ni bank yako mimi nakupa experience yangu. Je, na wewe una bank na HSBC business account?

Ni kweli kabisa Lizy,
Mimi pia ni mtumiaji mzuri wa online banking na nipo kwenye nchi ya ulimwengu wa kwanza hakuna hiyo kitu ya Bank Swift kuja automatically unapokuwa umechagua nchi na benki unakotuma. Huenda hii ni huko aliko mkuu Wacha1.

Sasa kwa sababu kwenye bank yako hakuna basi ndiyo Bank zote hakuna? Uliza uambiwe, mimi nimeweka hapo experience yangu wewe ya kwako iko wapi? Elezea bank yako mimi nakwambia sina sababu ya kutafuta Bank swift code kwa sababu hiyo option tayari ipo ninapochagua kutuma fweza kwa njia hiyo na kama nilivyosema hapo juu.
 
Soma post yangu hapa chini vizuri. Tatizo liko wapi? Mbona waja na jazba?

Ni kweli kabisa Lizy,
Mimi pia ni mtumiaji mzuri wa online banking na nipo kwenye nchi ya ulimwengu wa kwanza hakuna hiyo kitu ya Bank Swift kuja automatically unapokuwa umechagua nchi na benki unakotuma. Huenda hii ni huko aliko mkuu Wacha1.
 
Soma post yangu hapa chini vizuri. Tatizo liko wapi? Mbona waja na jazba?

Mkuu hakuna jazba labda uilete wewe, umeandika hakuna hiyo kitu ... ..... unless tubadili lugha tutumie ya wenzetu au siyo? Anyways mwenye shida ya swift code natumaini ameelewa wote waliojaribu kumsaidia na ataweza kufanikisha nia yake na kufanikiwa kutuma mpunga Bongoland. Have a good day!
 
Schedule A ? SWIFT Bank Identifier Codes (BICs) for TISS Participants (Bilateral Key exchange)
Participant SWIFT BIC LIVE SWIFT BIC T&T
1 TISS TANZTZTA ZYAATZTO
2 Bank of Tanzania TANZTZTX TANZTZTO
3 Akiba Commercial Bank AKCOTZTI AKCOTZTO
4 Barclays Bank Ltd BARCTZTX BARCTZTO
5 CF Union Bank Ltd CFUBTZTZ CFUBTZTO
6 Citibank Tanzania Ltd CITITZTZ CITITZTO
7 CRDB Bank Limited CORUTZTZ CORUTZTO
8 Diamond Trust Bank Tanzania Ltd DTKETZTZ DTKETZTO
9 Eurafrican Bank Ltd EUAFTZTZ EUAFTZTO
10 Exim Bank Ltd EXTNTZTZ EXTNTZTO
11 Habib African Bank Ltd HABLTZTZ HABLTZTO
12 International Bank of Malaysia LtdBKMYTZTZ BKMYTZTO
13 Kenya Commercial Bank Ltd KCBLTZTZ KCBLTZTO
14 National Bank of Commerce Ltd NLCBTZTX NLCBTZTO
15 National Microfinance Bank Ltd NMIBTZTZ NMIBTZTO
16 Stanbic Bank Tanzania Limited SBICTZTX SBICTZTO
17 Standard Chartered Bank Ltd SCBLTZTX SCBLTZTO
19 United Bank of Africa Ltd UNBFTZTZ UNBFTZTO
20 African Banking Corporation FMBZTZTX FMBZTZTO
MDAU Mshiiri NAULIZA HII KITU IBAN code natakiwa kutumiwa pesa from abroa via crdb so hiyo nayo inauliziwa,kwenye web ya crdb sioni kitu kwenye customer service sim mawenge,help me pliz
 
Last edited by a moderator:
MDAU Mshiiri NAULIZA HII KITU IBAN code natakiwa kutumiwa pesa from abroa via crdb so hiyo nayo inauliziwa,kwenye web ya crdb sioni kitu kwenye customer service sim mawenge,help me pliz

IBAN code hii tembelea tawi lako la bank na onana na manager akusaidie.
 
Daah nshafail hadi hapo,maana nipo mbali sana na My Branchi,na jamaa nimewatumia mesej hawajajibu,ila asante sana ntalifanyia kazi kwa siku zijazo
 
Mbona inasemekana Tanzania hatutumii IBAN?

Nilikua nahitajika IBAN NO skupewa majibu ya maana sana na bank fulani hapa nikaishia kutumia western union
 
Schedule A &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; SWIFT Bank Identifier Codes (BICs) for TISS Participants (Bilateral Key exchange)
Participant SWIFT BIC LIVE SWIFT BIC T&T
1 TISS TANZTZTA ZYAATZTO
2 Bank of Tanzania TANZTZTX TANZTZTO
3 Akiba Commercial Bank AKCOTZTI AKCOTZTO
4 Barclays Bank Ltd BARCTZTX BARCTZTO
5 CF Union Bank Ltd CFUBTZTZ CFUBTZTO
6 Citibank Tanzania Ltd CITITZTZ CITITZTO
7 CRDB Bank Limited CORUTZTZ CORUTZTO
8 Diamond Trust Bank Tanzania Ltd DTKETZTZ DTKETZTO
9 Eurafrican Bank Ltd EUAFTZTZ EUAFTZTO
10 Exim Bank Ltd EXTNTZTZ EXTNTZTO
11 Habib African Bank Ltd HABLTZTZ HABLTZTO
12 International Bank of Malaysia LtdBKMYTZTZ BKMYTZTO
13 Kenya Commercial Bank Ltd KCBLTZTZ KCBLTZTO
14 National Bank of Commerce Ltd NLCBTZTX NLCBTZTO
15 National Microfinance Bank Ltd NMIBTZTZ NMIBTZTO
16 Stanbic Bank Tanzania Limited SBICTZTX SBICTZTO
17 Standard Chartered Bank Ltd SCBLTZTX SCBLTZTO
19 United Bank of Africa Ltd UNBFTZTZ UNBFTZTO
20 African Banking Corporation FMBZTZTX FMBZTZTO
Equity bank ni ipi?
 
Thread ya muda sana ,kpindi hcho namaliza chuo,alafu sahz haya mambo ndo nayofanyia kazi.
Jamiii forums c ya kitoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom