Homicide?Huyo Lulu ndo suspect?Was it accidental?Duh!noma kweli kweli.Clouds fm live dakika zilizopita mtu aliepo nyumbani kwa marehemu, watu wanazidi kufika ndugu zake bado hawajafika.
Kanumba alikuwa anaoga wanavyodai majirani saa sita usiku alitoka bafuni kuingia chumbani eti akamkuta Lulu anaongea simu ya mapenzi na mwanaume mwingine, wakagombana na akasukumwa na kuangukia kujigonga na ndio kilichosababisha kifo chake. sasa msemaji amesema kuwa hii ndivyo inavyoelezwa pale na wanasubiri wataalamu watoe taarifa yao, inaelekea ugomvi ulikuwa mkubwa kati yao hadi majirani walisikia.
Kwa hiyo kwa sasa ni kauawa na Mpenzie
RIP
CCM hao...si alitangaza nia ya kugombea ubunge Shinyanga??...Na lazima angegombea kupitia CDM.RIP Kanumba.
Duh asante kwa taarifa. Sasa kama ndio hivyo si Lulu anatakuwa kuarestiwa? Maana ni murder case!
it has been edited mkuu, nilichokuwa najaribu kusema ni habari iliyothibitishwa na sio cooked story , sorry kwa makosa yaliyojitokeza."hopeful ni habari ya kweli"?? kwa hiyo ulikuwa unasubiri afe?
PKA
CCM hao...si alitangaza nia ya kugombea ubunge Shinyanga??...Na lazima angegombea kupitia CDM.RIP Kanumba.
Clouds fm live dakika zilizopita mtu aliepo nyumbani kwa marehemu, watu wanazidi kufika ndugu zake bado hawajafika.
Kanumba alikuwa anaoga wanavyodai majirani saa sita usiku alitoka bafuni kuingia chumbani eti akamkuta Lulu anaongea simu ya mapenzi na mwanaume mwingine, wakagombana na akasukumwa na kuangukia kujigonga na ndio kilichosababisha kifo chake. sasa msemaji amesema kuwa hii ndivyo inavyoelezwa pale na wanasubiri wataalamu watoe taarifa yao, inaelekea ugomvi ulikuwa mkubwa kati yao hadi majirani walisikia.
Kwa hiyo kwa sasa ni kauawa na Mpenzie
RIP
Huenda kafa kwa kutolewa kafara na dingi yake yule wa GAMBUSH (USUKUMANI) si mnaukumbuka ule ugomvi wao?
alikuwa na LULU tena?
lulu?????? Huyu mtoto au mwingine?