Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

sasa kama usiku huo walikua wawili ndani tena chumbani,hawakua wamefanya kitu?kama watakua kuna kitu walifanya before je kanumba alipata hata mda wa kutubu kidogo?hamna kitu kibaya kama kufa kwenye dhambi.
 
kanumba ni binadamu wa kawaida sana kama nilivyo Mimi au ww, kifo kimewekwa na mungu ili nafsi za wanadamu washtuke na kumrudia mwenyewe mungu. Leo kifo cha kanumba kimekua ndo story ya Tanzania, je nimarangapi umekutana na watu njiani wanaenda kuzika na ukaona ni kitu cha kawaida tu? inapotokea kwa famous people watu ndo wanashtuka. huwezi amini, kifo cha kanumba kimeumiza watu kuliko watu zaidi ya 40 waliokufa kwa mvua kubwa pale jangwani.

natoa pole kwa familia ya kanumba kama binadamu mwezangu kwani msiba ni kitu kinachouma sana na sio pole kwakua tu alikua msanii wa Bongo movie.
Kuna kaukweli lakini lazima uwaheshimu na hao walioumizwa na mtu mmoja lakini hawakuumizwa na watu 40!
 
LULU muongo yule kaumbukaje? Nakumbuku sentens yake I DONT NEED A BOYFRIEND SALAMA, I AM ONLY EIGTEEN!
 
Kumbe Kanumba alikuwa mtoto mdogo hivi? Just 28yrs?
No no no, kweli gone so soon!
 
sheria ya ndoa ya nchi au ya kidini? ebu fafanua
Sheria ya ndoa inaruhusu mwanamke kuolewa akiwa na miaka 14. Sijui kama imebadilishwa hivi sasa. lakini ninayoifahamu ya tangu zamani ni hiyo.
 
inaonesha mzee alimaliza kazi ya kwanza na kwenda kuoga,dogo akapigiwa na mwingine
 
sasa kama usiku huo walikua wawili ndani tena chumbani,hawakua wamefanya kitu?kama watakua kuna kitu walifanya before je kanumba alipata hata mda wa kutubu kidogo?hamna kitu kibaya kama kufa kwenye dhambi.
 
Amesaidia sana Cinema Industry ya Tanzania,
na anaweza kupewa a special tribut toka kwa viongozi,
ila sidhani kama anastahili State Burial
sababu kazi yake haikua ya kitaifa per se. Ilikua ni biashara.
Hakuwahi kusudia kutumia kazi yake kwa kuwasaidia watanzania.
 
Lulu(hot Lulu)yupo kituoni police
na mahututi kwani anamaumivu na majeraha mengi sana usoni,lulu kapasuliwa pia na Kanumba
Well, kama ana majeraha usoni basi inawezekana alikuwa victim of spousal abuse. Pia kuna uwezekano alikuwa katika harakati za kujikinga dhidi ya kichapo kutoka kwa marehemu. Na hiyo itahusika sana katika utetezi wa kesi kama watamshitaki kwa jinai yeyote.

La muhimu kwa sasa hatakiwa kujibu jibu maswali ya polisi ovyo ovyo bila wakili kuwepo au kuandikishwa ma statement marefu ambayo yanaweza kuja kutumiwa dhidi yake. Ana haki ya kunyamaza kimywa.
 
Kwangu mimi hata Mkapa akifa leo hastahili hiyo state burial kwani ni kumuongezea mzigo mwananchi ambaye tayari ameathiriwa na wizi wa Mkapa alipokuwa rais.
 
mi nlitegemea m2 kama kanumba kua mstari wa mbele kukakanya aka katoto kumbe na yeye alikua anapona
 
Leo siyo siku ya kazi, kaoge, ukojoe na ulale mapema. Jamii ya kistaarabu ya kulipua wenzenu na kujilipua wenyewe kwa mabomu? Ndugu huna pointi, hata mimi nilikosa pointi nilipokuwa huko kwako miezi michache iliyopita. Leo mada hapa Kanumba kafariki, how come mtu anakuja na kushangilia kwa kifo chake?

Aliyeshangilia ni yeye na sio jamii yake!! Toka kwenye jamii iliyomzunguka yeye, wapo waliohuzunishwa na hicho kifo pengine kuliko wewe...sasa inakuwaje unaanza kuwadhalilisha?! Next time, watch ur fingers movement, usijifanye unajua sana matusi; mie sioni taabu kupigwa ban ninapokutana na watu kama wewe!
 
Frankly speaking apa kuna namna nyingine, mtu kusukumwa tuu tena na ka binti kadogo adi kufa? Any way kazi ya ma CID
 
Back
Top Bottom