Haya majamaa ni majinga sana mkuu na yatia kinyaa utumwe na mwananchi gani?, maoni ya wananchi ndio yaliyopo kwenye rasimu ya katiba. Wanasiasa wanajua wanachokifanya ila yana mwisho kizazi hiki na kijacho kitaamua tuu katiba yao sio ujinga tunaouna pale bungeni yaani wanadiriki na kudhubutu kutoa ilani yao ya uchaguzi bunge la katiba kweli?, sisi wananchi tulio wengi ambao hatuna vyama tuliotoa maoni yetu wanataka kutuburuza kwenye vyama vyao?...... STUPID PEOPLE.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.