jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 11,893
- 12,143
Yaani tuna sehemu nyingi na nzuri huwezi amini kaka, hasa kule Rukwa/Sumbawanga, yaani ni bikira kubichi, untouched, juts wonderful wonderful place, pure Eden...Ngoja nitafute hiyo sehemu niwekeWonderful Tanzania
RUKWA