Jaribu kuwatizama wanaoburudika hapo,kuna mzawa?hii nchi imebarikiwa ila nadhani watu wake wamelaaniwa
Ni kweli usemacho ndugu ni vigumu kwa nchi masikini yenye watu wachache wa daraja la kati kuwa na mass local tourism lakini hii ni moja tu ya sababu.Jaribu kuwatizama wanaoburudika hapo,kuna mzawa?hii nchi imebarikiwa ila nadhani watu wake wamelaaniwa