Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,186
- 906
Startups nchini Tanzania zimefanikiwa kuvutia uwekezaji wa takribani Dola za Marekani milioni 90, huku Serikali ikiendelea kusukuma mbele maboresho ya mfumo wa venture capital ili kurahisisha upatikanaji wa mitaji kwa kampuni changa na bunifu. Hatua hiyo inalenga kukuza ubunifu, ajira na biashara za kiteknolojia, pamoja na kuimarisha mazingira ya uwekezaji kwa startups nchini.