Tanzania yazidi kupanda kwenye FIFA ranking

MAXIMO bado kibarua anacho cha kutengeneza STRIKERS nafikiri lazima TFF watamuongezea mkataba ,tunamhitaji kwa miaka kama 4 zaidi

Mwacheni aende kwani kuondoka kwake kutatufanya tupate mwingine aliye bora zaid yake. Hongera Stars, Hongera wa TZ kwa kutumika kodi zenu kui surpport T/Stars na mwisho Maximo.

Please Maximo leave our stars ameiongoza vema sasa ni wakati wako uondoke waje wenzio
 
Aondoke warudi wazalendo akina Syllesaid Mziray ama???..kazi kwelikweli
 
Tanzania bado tunayo safari ndefu katika Soka hiki kinachoonekana sasa ni mwanzo tu wa mafanikio endapo viongozi wa michezo watakuwa na program endelevu za kukuza na kuendeleza michezo mojawapo likiwa ni kusisitiza kuwepo kwa mitaala ya elimu inayohamasisha michezo Mashuleni. Kwa kufanya hivi tutakuwa tumeweka misingi imara iliyojengeka na nidhamu kwa wanamichezo wetu. Ikumbukwe kuwa wenzetu wanachukulia michezo kama kazi/ajira/ career . Lakini sisi tunachukulia kama furaha/ fun na hivyo kuondoa dhana nzima ya ushindani. Nimesemea michezo yote kwa sababu uwezo tunao na wanamichezo tunao. Oneni Kenya na Ethiopia wanavyoweza riadha. Tunashindwa nini? Tusiishupalie Soka peke yake.
 
Mwacheni aende kwani kuondoka kwake kutatufanya tupate mwingine aliye bora zaid yake. Hongera Stars, Hongera wa TZ kwa kutumika kodi zenu kui surpport T/Stars na mwisho Maximo.

Please Maximo leave our stars ameiongoza vema sasa ni wakati wako uondoke waje wenzio

Exactly the kind of stupid thinking that attributed to our poor performance in the past.

Just when the results of the hard work are begining to show you want him to leave. The players are young and still being molded. Stability and continuity would only help.
 
Usishangae mkuu,hivyo ndo baadhi ya waTanzania tulivyo...ndo maana NN huwa anasema: "Miafrika ndivyo tulivyo"
 
Exactly the kind of stupid thinking that attributed to our poor performance in the past.

Just when the results of the hard work are begining to show you want him to leave. The players are young and still being molded. Stability and continuity would only help.

heshima yako mkuu,
nalazimika kutaka kuamini kuwa huyo mwenzetu atakuwa ndiye aliandika article kwenye gazeti lao kuwa YANGA KUCHEZA NA SUDAN siku ile stars walipokuwa wanajiandaa kuumana na na wanubi!!!vinginevyo atakuwa ni mmojawapo wa lile genge linaloongozwa na SSM a.k.a mzee wa Panki!!!
Stars inapiga soka ya hali ya juu sana baada ya mazoezi ya wiki moja, kiwango chao kiko juu sana kuliko vilabu vyetu vyenye makocha wageni na wazalendo.Angalia hata viwango vya wachezaji wa stars wakiwa kwenye vilabu vyao ni vya kawaida sana lakini wakifika kwa maximo wanakuwa wakali sana.Wenye wivu mtapasuka mwaka huu, kwa taarifa yenu maximo amekuballi kuongeza mkataba wa kuinoa stars.
 
Mwacheni aende kwani kuondoka kwake kutatufanya tupate mwingine aliye bora zaid yake. Hongera Stars, Hongera wa TZ kwa kutumika kodi zenu kui surpport T/Stars na mwisho Maximo.

Please Maximo leave our stars ameiongoza vema sasa ni wakati wako uondoke waje wenzio

Huyo kocha bora zaidi bila $100,000 kwa mwezi ni ndoto. Mwacheni akae awakuze vijana.
 
Mwaka 1987 CCM walimwalika Tab Lay na bendi yake ya Afrisa International kuja kutumbuiza.

Ilichukua Chama cha siasa kuileta Afrisa International!!!!

Sasa tupo karne ya 21.
Watu woote Huko wizarani mpaka Fat wameshindwa imebidi Rais kuingilia kati kumleta Kocha?!

Nilicheza Soccer mpaka nilipokuwa University hata hivyo siku hizi sifuatlii sana mambo ya soka ya Tanzania kwa sababu walisha niboa Mafisadi wa Soka mika zaidi ya 20 ilopita.

Tunaweza kujivunia matokeo ya kumleta huyu kocha, lakini sioni sababu ya kujivunia mtu liye mleta. KAzi ya kumleta Kocha si ya Rais wa nchi, hata huko Brazil ambako kila mtu ni mpenzi wa kabumbu kazi ya kumtafuta kocha anaye faa si ya Rais.

Watanzania tumepungukiwa kitu fulani kwenye kila aina ya utekelezaji, si bure.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom