TataMadiba JF-Expert Member Joined Feb 7, 2014 Posts 9,880 Reaction score 5,766 Oct 15, 2026 #1 View: http://www.instagram.com/reels/DehDjiHCUFW/?hl=en
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 38,396 Reaction score 73,091 Oct 15, 2026 #2 TataMadiba said: View: http://www.instagram.com/reels/DehDjiHCUFW/?hl=en Click to expand... ..wamefanya kazi nzuri kutangaza vivutio vyetu na si kumuonyesha Mama Abduli. ..Hongera sana. ..Lakini hakupaswa kuzungumza Kiswahili, alipaswa kuzungumza kwa lugha za hao tunaojaribu kuwavuta waje Tanzania.
TataMadiba said: View: http://www.instagram.com/reels/DehDjiHCUFW/?hl=en Click to expand... ..wamefanya kazi nzuri kutangaza vivutio vyetu na si kumuonyesha Mama Abduli. ..Hongera sana. ..Lakini hakupaswa kuzungumza Kiswahili, alipaswa kuzungumza kwa lugha za hao tunaojaribu kuwavuta waje Tanzania.
BabuFey JF-Expert Member Joined Feb 13, 2023 Posts 2,962 Reaction score 4,736 Oct 15, 2026 #3 Wako wapi waliokuwa wana wadharau Wamarekani na kudai hatutishwi na Mabeberu?