Tanzania yashika nafasi ya tatu barani Afrika kwa uzalishaji wa zao la Kahawa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
79,084
Reaction score
84,978
My Take
Nafasi ya kwanza ni Uganda baada ya Kuipita Ethiopia.

Bajeti ya Kilimo iliyoongezwa na Serikali ya Samia kutoka Bilioni 250 Hadi Trilioni 1.2 imeanza kuzaa matunda Kwa Tanzania kuzipiku Kenya na Ivory Coast kuwa namba 3 wa Kuzalisha Kawaha Afrika nzima.

Hongera sana SSH Kwa utashi wa Kisiasa, hongera Waziri Bashe na hongera wakulima hata kama Chadomo Watachukia 😂

Tuna kazi ya kufanya kuwapita Uganda & Ethiopia

View: https://www.threads.com/@statsfrica/post/DL43rrOtze2?xmt=AQF0ylHZJJdF7ncGFuEAgqtm5KtFVUNDuW3_rbJkheL4Tg
==============
Tanzania inashika nafasi ya tatu barani Afrika kwa uzalishaji wa zao la Kahawa hapa nchini, ikizipiku nchi za Kenya na Ivory Coast zilizokuwa nafasi za juu kwa uzalishaji wa zao hilo Afrika.

Hayo yalibainishwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Dkt. Stephen Nindi wakati akifunga Mkutano Mkuu wa 15 wa Bodi ya Kahawa nchini kwa niaba ya waziri wa kilimo, uliofanyika jana jijini Dodoma.

Dkt. Nindi amesema serikali itaendelea kutafuta masoko ya zao la Kahawa katika nchi mbalimbali barani Afrika na nje ya bara la Afrika, ili kuhakikisha inawainua kiuchumi wakulima mbalimbali hapa nchini lakini pia kuongeza mapato.

Aidha amesema lengo la serikali ni kuona kahawa ya hapa nchini inazidi kupata soko katika nchi tofauti ili wazidi kupanua wigo wa soko la zao la Kahawa duniani kote na kuongeza kuwa lengo ni kuona Kahawa ya Tanzania inatumika sehemu mbalimbali.

Kutokana na hilo, ameviagiza vyama vya Ushirika hapa nchini kuhakikisha vinashirikiana na Bodi ya Kahawa kuhakikisha wanasonga mbele ikiwemo kutatua changamoto ndogo ambazo wanakutana nazo wakulima ili kuendeleza tasnia ya kahawa.

Amesema pia serikali itaendelea kushirikiana na wadau wa kahawa ili kuhakikisha zao hilo linakuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa nchi hii ikiwemo kuongeza kuchangia pato la taifa kupitia mauzo ya ndani na nje ya nchi.

Naye Mkurugenzi wa Bodi ya Kahawa nchini Primus Kimaryo amesema Bodi hiyo inaendelea kuweka mikakati ya kuimarisha kilimo cha zao hilo ili kufikia malengo ya kuongeza uzalishaji katika maeneo mbalimbali.

Kimaryo amesema Bodi hiyo ilijiwekea kufikia tani 300,000 ndani ya miaka mitano lakini hazijafika na kuongeza wanarudi kujipanga upya ili waweze kufikia mkakati wa kuzalisha tani hizo.

Kwenye kahawa sina deni na serikali , miaka mitatu au monne ijayo kahawa itayozalishwa nchi hii itakua nyingi mno ruvuma, Kagera, kigoma, songwe kuna project za kahawa za mabilion eneo Hilo mnyonge mnyongeni haki yake apewe Samia kajitoa
Sekta zote za mazao.Mimk nilipuuza Kilimo Toka alipoingia Magu baada kuvuruga Kila kitu.

Toka Samia aingie madarakani mazao yote Yana bei nzuri na Sasa nimerudi tena kwenye Kilimo.

2030 mkilleta wapuuzi wengine naacha kabisa nitaheukia ufugaji tuu maana wale watu wa dini Ile Huwa wanavuruga sana maisha.
 
Kwa mfanyabiashara wa mazao ukiacha kutajirika wakati huu wa samia , faham utakua maskini milele , fursa ya kuuza mazao nchi nyingi iko wazi,
Sio tuu mfanyabiashara wa mazao hata mkulima pia.

Mama anatoa ruzuku ya mbolea na mbegu,chokaa.

Anajenga irrigation schemes,anachimbia visiwa wakulima wadogo na usaidizi mwingine kibao eg kupima Afya ya udongo ni Bure .
 
My Take
Nafasi ya kwanza ni Uganda baada ya Kuipita Ethiopia.

Bajeti ya Kilimo iliyoongezwa na Serikali ya Samia kutoka Bilioni 250 Hadi Trilioni 1.2 imeanza kuzaa matunda Kwa Tanzania kuzipiku Kenya na Ivory Coast kuwa namba 3 wa Kuzalisha Kawaha Afrika nzima.

Hongera sana SSH Kwa utashi wa Kisiasa, hongera Waziri Bashe na hongera wakulima.
==============
Tanzania inashika nafasi ya tatu barani Afrika kwa uzalishaji wa zao la Kahawa hapa nchini, ikizipiku nchi za Kenya na Ivory Coast zilizokuwa nafasi za juu kwa uzalishaji wa zao hilo Afrika.

Hayo yalibainishwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Dkt. Stephen Nindi wakati akifunga Mkutano Mkuu wa 15 wa Bodi ya Kahawa nchini kwa niaba ya waziri wa kilimo, uliofanyika jana jijini Dodoma.

Dkt. Nindi amesema serikali itaendelea kutafuta masoko ya zao la Kahawa katika nchi mbalimbali barani Afrika na nje ya bara la Afrika, ili kuhakikisha inawainua kiuchumi wakulima mbalimbali hapa nchini lakini pia kuongeza mapato.

Aidha amesema lengo la serikali ni kuona kahawa ya hapa nchini inazidi kupata soko katika nchi tofauti ili wazidi kupanua wigo wa soko la zao la Kahawa duniani kote na kuongeza kuwa lengo ni kuona Kahawa ya Tanzania inatumika sehemu mbalimbali.

Kutokana na hilo, ameviagiza vyama vya Ushirika hapa nchini kuhakikisha vinashirikiana na Bodi ya Kahawa kuhakikisha wanasonga mbele ikiwemo kutatua changamoto ndogo ambazo wanakutana nazo wakulima ili kuendeleza tasnia ya kahawa.

Amesema pia serikali itaendelea kushirikiana na wadau wa kahawa ili kuhakikisha zao hilo linakuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa nchi hii ikiwemo kuongeza kuchangia pato la taifa kupitia mauzo ya ndani na nje ya nchi.

Naye Mkurugenzi wa Bodi ya Kahawa nchini Primus Kimaryo amesema Bodi hiyo inaendelea kuweka mikakati ya kuimarisha kilimo cha zao hilo ili kufikia malengo ya kuongeza uzalishaji katika maeneo mbalimbali.

Kimaryo amesema Bodi hiyo ilijiwekea kufikia tani 300,000 ndani ya miaka mitano lakini hazijafika na kuongeza wanarudi kujipanga upya ili waweze kufikia mkakati wa kuzalisha tani hizo.

Zako la paracchichi inaonekana Kenya ni ya nne Duniani,ukweli ni kwamba nyingi za parachichi wanachukua Tanzania,sijui hatujajitangaza vipi?!
 
Sekta zote za mazao.Mimk nilipuuza Kilimo Toka alipoingia Magu baada kuvuruga Kila kitu.

Toka Samia aingie madarakani mazao yote Yana bei nzuri na Sasa nimerudi tena kwenye Kilimo.

2030 mkilleta wapuuzi wengine naacha kabisa nitaheukia ufugaji tuu maana wale watu wa dini Ile Huwa wanavuruga sana maisha.
Pesa na utajiri uliojificha kwenye mazao ni mkubwa sana
 
Kwenye kahawa sina deni na serikali , miaka mitatu au monne ijayo kahawa itayozalishwa nchi hii itakua nyingi mno ruvuma, Kagera, kigoma, songwe kuna project za kahawa za mabilion eneo Hilo mnyonge mnyongeni haki yake apewe Samia kajitoa
Mkuu huogopi kutukanwa na chadema?!!!! Wao wanataka hapa JF yaandikwe mabaya tu ya Samia
 
Hapana mazuri lazima yasemwe hadharani na takwimu haziongopi, Rais Samia atakumbukwa , bajeti ya kilimo bilion 200 kaipandisha hadi trillion huyu upande wa kilimo ni chuma , pamoja na mvua ndogo hutosikia njaa nchi hii
 
Kwenye kahawa sina deni na serikali , miaka mitatu au monne ijayo kahawa itayozalishwa nchi hii itakua nyingi mno ruvuma, Kagera, kigoma, songwe kuna project za kahawa za mabilion eneo Hilo mnyonge mnyongeni haki yake apewe Samia kajitoa
Mkutano hauzingumzi na Wakulima. Ni wazee wa Bodi na mavyama ya ushirika ambayo yamefilisi wakulima wakang'oa mibuni yote.

Hata hiyo Kajawa ya Iganda wanahosema wameongoza, kuna uwezekanao mkubwa imetoka Kagera, imepelekwa kwa njia za magendo.
 
Zako la paracchichi inaonekana Kenya ni ya nne Duniani,ukweli ni kwamba nyingi za parachichi wanachukua Tanzania,sijui hatujajitangaza vipi?!
Tunakuja Kwa kasi sana kwenye horticulture,kabla ya 2030 tutakuwa Juu
 
Mkuu huogopi kutukanwa na chadema?!!!! Wao wanataka hapa JF yaandikwe mabaya tu ya Samia
Ukiwaogopa hao wapuuzi wa Chadomo utakuwa huitendei Hali nafsi Yako.

Ndio maana Huwa wanapuuzwa Waite chawa wasiite nitaandika tuu.
 
My Take
Nafasi ya kwanza ni Uganda baada ya Kuipita Ethiopia.

Bajeti ya Kilimo iliyoongezwa na Serikali ya Samia kutoka Bilioni 250 Hadi Trilioni 1.2 imeanza kuzaa matunda Kwa Tanzania kuzipiku Kenya na Ivory Coast kuwa namba 3 wa Kuzalisha Kawaha Afrika nzima.

Hongera sana SSH Kwa utashi wa Kisiasa, hongera Waziri Bashe na hongera wakulima hata kama Chadomo Watachukia 😂
==============
Tanzania inashika nafasi ya tatu barani Afrika kwa uzalishaji wa zao la Kahawa hapa nchini, ikizipiku nchi za Kenya na Ivory Coast zilizokuwa nafasi za juu kwa uzalishaji wa zao hilo Afrika.

Hayo yalibainishwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Dkt. Stephen Nindi wakati akifunga Mkutano Mkuu wa 15 wa Bodi ya Kahawa nchini kwa niaba ya waziri wa kilimo, uliofanyika jana jijini Dodoma.

Dkt. Nindi amesema serikali itaendelea kutafuta masoko ya zao la Kahawa katika nchi mbalimbali barani Afrika na nje ya bara la Afrika, ili kuhakikisha inawainua kiuchumi wakulima mbalimbali hapa nchini lakini pia kuongeza mapato.

Aidha amesema lengo la serikali ni kuona kahawa ya hapa nchini inazidi kupata soko katika nchi tofauti ili wazidi kupanua wigo wa soko la zao la Kahawa duniani kote na kuongeza kuwa lengo ni kuona Kahawa ya Tanzania inatumika sehemu mbalimbali.

Kutokana na hilo, ameviagiza vyama vya Ushirika hapa nchini kuhakikisha vinashirikiana na Bodi ya Kahawa kuhakikisha wanasonga mbele ikiwemo kutatua changamoto ndogo ambazo wanakutana nazo wakulima ili kuendeleza tasnia ya kahawa.

Amesema pia serikali itaendelea kushirikiana na wadau wa kahawa ili kuhakikisha zao hilo linakuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa nchi hii ikiwemo kuongeza kuchangia pato la taifa kupitia mauzo ya ndani na nje ya nchi.

Naye Mkurugenzi wa Bodi ya Kahawa nchini Primus Kimaryo amesema Bodi hiyo inaendelea kuweka mikakati ya kuimarisha kilimo cha zao hilo ili kufikia malengo ya kuongeza uzalishaji katika maeneo mbalimbali.

Kimaryo amesema Bodi hiyo ilijiwekea kufikia tani 300,000 ndani ya miaka mitano lakini hazijafika na kuongeza wanarudi kujipanga upya ili waweze kufikia mkakati wa kuzalisha tani hizo.

Kuzalisha kahawa kwa wingi huku watu wanatekwa Kuna maana Gani??
 
alafu anatokea mjinga moja anacha kuweka alama ya vema kwa mama
 
Good
 
Back
Top Bottom