Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,659
- 7,948
Katika kuishi kwako na hao wazungu; umejuaje kati yenu mwenye furaha ya kweli toka moyoni ni wewe au hao wazungu?,.
Utafiti hupingwa kwa utafiti.
Utafiti huo wameuliza watu barabarani na Jana BBC Swahili, imedhibitisha kwa.kuulizia watu hapo Tanzania, kijitonyama, Rwanda.Kigali na Burundi Bujumbura mbona walioulizwa wamekataa?
Acha kuamini wazungu Weweee.
Nimesoma, nimekua , nimefundishwa na sasa nafanya na wazungu kazi ni watu wanafiki usiwaone wanakuchekea laiti ungejua wanachokuwazia ni tofauti kabisaaa na kile unachowafikilia wewe.
Hebu, waza vizuri japo kidogo tu, Sudan Kusini iwe juu yetu, Yemen, Syria? Kweli ? Hadi hapo ukubali kuwa utafiti huo ni kweli. Unajua majanga ya hizo nchi Weweee?
Umewahi eenda angalau maeneo yenye shida Kweli wewe ukaona watu ambao hawana furaha!
Acha mzaha aiseee.
Please, you cannot apply a single world view especially a Eurocentric point of view to determine the Afrocentric point of view with relation to happines because, we have different perspective on the same matter.
Also, you have to understand that happiness is a subjective issue and not objective.
Things which makes you happy are not the same even to your wife,.girlfriend or your colleagues.
Therefore, such a research report and its findings are rubbish and pure gibberish one.